UTHIBITISHO: Simu inatabiri vizuri mvua kuliko TMA, TMA inakula hela za bure

Best weather app, inaitwa accuWeather.. Just download from google store, kisha uniambie, hakuna cha TMA au nani hapo.. Worldwide wanatumia hiyo, iko vizuri sana, wenye smartphone mshindwe wenyewe sasa
 
Ninakumbuka Kikwete akiwa rais enzi hizo aliwahi kuwasema TMA na utabiri wao wa jumlajumla, tulishuhudia walikanusha kuhusu uwepo wa kimbunga lakini siku ya tatu wakathibitisha uwepo wa kimbunga walichokanusha. Utabiri wa TMA huwa hautaji eneo husika bali unataja nchi!

Nakumbuka nimewahi watembelea pale Ubungo Plaza katika maongezi nikaambiwa kuwa wao huwa wanatumia satellite za Ulaya zile zilizopitwa na mda na zimeishaexpire. Hizo satellite zikiisha expire japokuwa zinaweza bado kufanya baadhi ya functions lakini inakuwa sio accurate, hao wazungu huwa wanazisukuma Africa, hapo na sisi tunapata cha kufanyia kazi ila sasa accuracy na precision hakuna tena make zinakuwa kwa kiwango kikukbwa na malfunctioning nyingi.
 
Mkuu, sasa kama simu zetu zinatoa accurate weather forecast zaidi ya hao TMA, sisi tusemeje tena. Binafsi naungana na mtoa hoja, huenda ni vifaa/teknolojia au vinginevyo ila hao TMA wameshindwa kabisa kutoa utabiri unaoendana na ukweli.
Labda wanaingiza na siasa kwenye utabiri wa hali ya hewa
 
Best weather app, inaitwa accuWeather.. Just download from google store, kisha uniambie, hakuna cha TMA au nani hapo.. Worldwide wanatumia hiyo, iko vizuri sana, wenye smartphone mshindwe wenyewe sasa
Mimi ndio ninaitumia hiyo huku Moshi wananiona mchawi maana kila ninavyowaambia ndio inatokea hivyo hivyo wao wanawaamini TMA. Huwa naangalia utabiri wa kila saa na nawaambia muda flani itanyesha.
 
TMA waliitisha press kabisa kuhusu mvua zinazoendelea hapa Dar na kusema mvua hizi zitaendelea hadi Jumapili

Ila kwenye simu yangu, nikacheki utabiri nikaona tofauti na wa TMA inasema Jumapili, Jumatatu mvua itakuwepo kama kawaida, Jumanne(leo) ndio itakata

Nika save screenshot ya utabiri wa Google nikasema ngoja nilinganishe na wa TMA nione wapi wapo sahihi?

Matokeo yake mmeyaona leo wenyewe wakuu, utabiri wa TMA umekuwa wa uongo wakati wa simu yangu umekuwa wa kweli

Hii ni screenshot niliyoichukua Jumamosi ikionesha mvua zitakata Jumanne (Tuesday) ambayo ndio leo pamoja na kesho
View attachment 1097834,

Huu ni Utabiri wa TMA walioutoa kwenye mkutano wao na waandishi na kusema mvua zitakata Jumapili

View attachment 1097832
Hujaona neno "kisha kupungua tena na kuendelea..."
 
Nipe hiyo maana unayodhania siijui
Yani unauhakika wa kumpa demu wako pesa kesho mana michongo unajua kabisa inaenda kutiki, ila muda ukifika mambo hubadilika, unakosa pesa kwa sababu kadhaa hivi.

Ni sawa na utabiri, hali ya hewa inabadilika kila wakati, wao wanatoa tahadhari tu na taarifa ya kile kinachotarajiwa kutokea.

Mfano kimbunga Kenneth, walianza wamarekani kutupa taarifa kisha TMA na sehemu kadhaa za jirani, ila kimbunga kikabadili upepo mwelekeo na kuyakuta maeneo mengine yaliotajwa pia.

Ndio mana kukawepo neno "mabadiliko ya hali ya hewa" ikimaanisha Muda na saa yoyote mabadiliko yapo.
 
Sasa si ndio maana nikasema simu ipo accurate zaidi kwenye utabiri kuliko TMA

Najua utabiri ni utabiri, ika kuba tabiri ambazo zipo accuraye zaidi ya nyingine, ama watu wangekuwa wanatabiri ovyo ovyo basi na isipotokea kweli watatumia hicho kigezo kuwa ni 'utabiri sio lazima iwe kweli'
 
Best weather app, inaitwa accuWeather.. Just download from google store, kisha uniambie, hakuna cha TMA au nani hapo.. Worldwide wanatumia hiyo, iko vizuri sana, wenye smartphone mshindwe wenyewe sasa
Nadhani hao wanapata taarifa kupitia WMO ambao nao wanapewa taarifa na TMA.
 
Mkuu, sasa kama simu zetu zinatoa accurate weather forecast zaidi ya hao TMA, sisi tusemeje tena. Binafsi naungana na mtoa hoja, huenda ni vifaa/teknolojia au vinginevyo ila hao TMA wameshindwa kabisa kutoa utabiri unaoendana na ukweli.
Nini maana ya neno UTABIRI?, wengi wanataka Utabiri wa hali ya hewa uwe ukweli 100%.Tuuendelee kulitumia kama utabiri hadi pale kutakapokuwa na neno lingine litakalomaanisha kitakachoelezwa ni ukweli 100%.kitatokea.Hao TMA si watumie simu pia?.
 
Mkuu, sasa kama simu zetu zinatoa accurate weather forecast zaidi ya hao TMA, sisi tusemeje tena. Binafsi naungana na mtoa hoja, huenda ni vifaa/teknolojia au vinginevyo ila hao TMA wameshindwa kabisa kutoa utabiri unaoendana na ukweli.
Google wamkupq hapo ulipo tma nchi nxima ina maana kuna sehemu watqpqta sawa
 
Back
Top Bottom