ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,403
Dah hata Mimi mkuuBinafsi sijawahi kuwa na hela. So ukiniambia Sasa hivi pesa hakuna walahi sikuelewi
AiseeDah hata Mimi mkuu
Kwako naona marahisiAisee
ππKwako naona marahisi
Nisipodata mwaka huu sidati tenaππ
Baada ya dhiki.........? πNisipodata mwaka huu sidati tena
Dah hii misemo ya kiswahili inazinguaBaada ya dhiki.........? π
Ata wewe prof unasema hivi kweli?Dah hii misemo ya kiswahili inazingua
Acha tu DavetAta wewe prof unasema hivi kweli?
Mungu atabariki bhana usiwaze mno
Kwa mwenye akili timamu inabidi idadi ya bia ipungue ili nyumbani kusiyumbe.Ngoja ukue Ndege utaona nini maana ya maisha magumu.
Maisha hayapimwi kwa idadi ya watu wanaokwenda bar. Unadhani mtu anaekunywa pombe barabara! akiwa na milioni 1 kesho akapungukiwa akawa na laki 3 kitakachopungua ni idadi ya pombe atayokunywa au kuhudumia nyumbani ndio kutapungua pombe ibaki pale pale?