Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi ateua Wakuu wa Wilaya

Kamuulize Maalim aliyeibiwa anasemaje?
Ni bora wayabebe wezi ili isije ikaonekana walioingia wameharibu,au kuonekana walioibiwa wanalipiza kisasi wanapochukua amri za papo kwa papo.wacha ccm wakabane wenyewe kwa wenyewe kwa taarifa wakurugenzi wote matumbo joto.
 
Ni askari huyo alishakuwa mkuu wa Kamandi ya KMKM. Hicho ni cheo
Alikuwa KMKM Cheo chake ni Commander (CDR) ni sawa na Luteni kanali.
KMKM = Kikosi Maalum Kuzuia Magendo. Sio kamandi ni kikosi cha SMZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…