BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,166
ama kweli hiyo ni NCCM.........
Bila kujali kuteuliwa kwake MHE. Mbatia kuwa Mbunge, ninachoweza kusema ni kwamba asilimia Kubwa ya mnaomtukana na kumkashifu mbatia ni wapinzani na vinara hapa ni cdm.....hebu turudi nyuma kidogo, wiki chache zilizopita Mbatia huyu huyu alifuta kesi yake ya msingi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Kawe.....alikuwa MZURI sana kwa upande WA upinzani. Leo kateuliwa na Magamba basi na yeye ni gamba....duh! Basi inamaana Zito naye ni Gamba kwani alichaguliwa na Magamba kuwa mwenyekiti WA ile kamati bungeni. AMA Mapesa naye ni gamba. Hebu mambo mengine msiweke mbele kutuhumu tuuuuuuu bila kuchekecha.
jamani sisi ni great thinkers, kwanini tunaongea bila ku reason? we should reason before talking maana itafanya tuonekane wapumbavu
hapo ndo amejidhihirisha ye ni gamba
what a load of nonsense.....NCCR inakufa na ndio maana wanaanza kukimbilia ccm taratibu...this coming election ya 2015 tutaona nccr itapata wabunge wangapi....hata hao walionao sasa hivi 2015 wanapigwa chini...its the beginning of the end for nccr
Ndugu mbatia viongozi wa chadema wanaokatwa mapanga na kuchinjwa na wengine kutishiwa maisha yao...wanatishiwa na watu wa chama gani??!! Unaongea kama vile hujaenda shule...Njaa jamani kitu kibaya sana.:thinking:
Bila kujali kuteuliwa kwake MHE. Mbatia kuwa Mbunge, ninachoweza kusema ni kwamba asilimia Kubwa ya mnaomtukana na kumkashifu mbatia ni wapinzani na vinara hapa ni cdm.....hebu turudi nyuma kidogo, wiki chache zilizopita Mbatia huyu huyu alifuta kesi yake ya msingi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Kawe.....alikuwa MZURI sana kwa upande WA upinzani. Leo kateuliwa na Magamba basi na yeye ni gamba....duh! Basi inamaana Zito naye ni Gamba kwani alichaguliwa na Magamba kuwa mwenyekiti WA ile kamati bungeni. AMA Mapesa naye ni gamba. Hebu mambo mengine msiweke mbele kutuhumu tuuuuuuu bila kuchekecha.
hello bro!!!
i think what you have written is a clear and complete representation of what NCCR has become and you couldn't say it better!!!!
on the other hand I'm personally very comforted by his "appointment" as a special delegate of Kikwete, we have to find the positive aspects even in a negative situation what i mean is even those who were doubtful regarding his loyalty to the UPINZANI now know for sure that the guy is not one of us - Kikwete anaiongezea CHADEMA nguvu bila ya yeye kujua hilo. Mnakumbuka CUF kabla ya ndoa yao na CCM walivyokuwa wakibalika na mnasemaje na mkilinganisha na hali yao ya kisiasa kwa sasa??? Jibu najua mnalo wote. TLP??? nafikiri haina hata haja ya kuongelewa...
sasa basi badala ya kugawa kura katika vyama ambavyo ni upinzani uchwara basi ni afadhali viungane na CCM kama vinavyofanya kwa sasa na wapiga kura mwaka 2015 hawatakuwa na haja ya kuweweseka katika kupiga kura tayari watakuwa wanajua ni nani hasa anapigana kwa maslahi ya wananchi wa kawaida wa Tanzania. KUDOS FOR KIKWETE!!!!
Nimeanza kuamini kwamba JK hakushinda uchaguzi kwa kura. Iwapo angeshinda kwa kura angeheshimu wapigakura na kutowatukana Kama hivi alivyofanya.Eti chama chake kimepewa heshima...My foot!!
Mbatia ni kilaza hamjui? ona! points zake utadhani hajawahi kwenda shule, yaani huo ubunge wa bure usiosotewa ndo domo juu; kagombee 2015 jimbo lolote tz kama hujaambulia kura yako 1 bila hata ya mkeo. Umeniudhi kweli hadi pressure imepanda.
Kwani kuna Chama kina amini katika vurugu za kumwaga damu?This is Too low!