Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

Kwa sisi wachambuzi wa mambo ya siasa, tulikwisha gundua kwamba NCCR ilikuwa ni CCM siku nyingi ila ni Muda tu ulikuwa haujawadia.... Leo imedhihirika mbele ya umma.......
 
Watu mnapaniki sana mnakuwa kama hamjui kama Siasa ni kama kucheza chess, hapo nampongeza Kikwete naona Queen wa Chadema under CHECK!
 
Ndiyo malipo ya mkulu kwa Mbatia alipomwambia azigawe kura za Mdee ili mysweet wake "malaika" ashinde kirahisi.
BARKMEI heri hata ile kesi aliifuta..mana mahakama za magamba wangetengua ubunge wa Halima Mdee halafu si unajua tena kesi ya Mnyika bado hukumu yake,yaani dar kusingekuwa na mbunge wa cdm
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu, naomba nisaidiwe, sababu za msingi za mbatia kuchaguliwa-
vp angechaguliwa zitto!
 
what a load of nonsense.....NCCR inakufa na ndio maana wanaanza kukimbilia ccm taratibu...this coming election ya 2015 tutaona nccr itapata wabunge wangapi....hata hao walionao sasa hivi 2015 wanapigwa chini...its the beginning of the end for nccr

Ndugu mbatia viongozi wa chadema wanaokatwa mapanga na kuchinjwa na wengine kutishiwa maisha yao...wanatishiwa na watu wa chama gani??!! Unaongea kama vile hujaenda shule...Njaa jamani kitu kibaya sana.:thinking:

Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu, hata hao waliopo nadhani kuna kosa lilifanyika vinginevyo wengi wao wangekuwa CDM.
 
NCCR=CCM C.Huwa najiuliza hawa wabunge 10 wa mbereko ya mzee inakuwaje kama akibadili mawazo wakati walishaapishwa?Anaweza kumtoa tana ubunge?Kimsingi nafasi hizi hazifai.
 
hello bro!!!
i think what you have written is a clear and complete representation of what NCCR has become and you couldn't say it better!!!!
on the other hand I'm personally very comforted by his "appointment" as a special delegate of Kikwete, we have to find the positive aspects even in a negative situation what i mean is even those who were doubtful regarding his loyalty to the UPINZANI now know for sure that the guy is not one of us - Kikwete anaiongezea CHADEMA nguvu bila ya yeye kujua hilo. Mnakumbuka CUF kabla ya ndoa yao na CCM walivyokuwa wakibalika na mnasemaje na mkilinganisha na hali yao ya kisiasa kwa sasa??? Jibu najua mnalo wote. TLP??? nafikiri haina hata haja ya kuongelewa...
sasa basi badala ya kugawa kura katika vyama ambavyo ni upinzani uchwara basi ni afadhali viungane na CCM kama vinavyofanya kwa sasa na wapiga kura mwaka 2015 hawatakuwa na haja ya kuweweseka katika kupiga kura tayari watakuwa wanajua ni nani hasa anapigana kwa maslahi ya wananchi wa kawaida wa Tanzania. KUDOS FOR KIKWETE!!!!


i couldnt agree more bruv...well said!!
 
Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu, hata hao waliopo nadhani kuna kosa lilifanyika vinginevyo wengi wao wangekuwa CDM.

fikiria wewe mwenyekiti wa chama wananchi hawakupi kura....ila wafanyakazi wako wa chini wanapewa kura na wananchi na wanapata ubunge...that says it all....jamani watanzania sisi tuna akili hata kama wengi hawajaenda shule...kule kawe walishamshtukia huyu wakajua wakimpa jimbo huyu mbatia ni sawa na kulipa jimbo ccm...wakamkataa wakampa halima mdee(cdm)... haya kikwete(baba huruma) kaamua kumuingiza bungeni kwa nguvu...Mheshimiwa mbowe huyu jamaa(mbatia) akija bungeni akae upande wa ccm asikae upinzani huyu atawaharibia...
 
Huyu kweli shoga, hatakaa aweze kugombea mahal akashnda hata angehamia ccm, yeye aendelee na hzo tabia zake za kike tu ndo mana jk amempa ulaji wanajuana, sa utamwita mpinzan kwel,
 
Back
Top Bottom