Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Hii awamu ya 5 ni ya kipumbavu sana
Mkuu chukulia mfano wa zanzibarInaweza pia ikawa mwisho wa amani wa nchi yetu maana kuwa watu tunaamini na tunaona kabisa kuwa ccm ndiye adui wa maendeleo yetu na nchi yetu,sasa andaeni mpango wa kutueliminate kwenye USO wa Tanzania kama mpango ni kutulazimisha tubaki na adui yetu ccm
Huo ndio ukweli kama unabisha endeleaunaota ndoto asubuhi na mapema hivi
nabisha mkuuHuo ndio ukweli kama unabisha endelea
Unashinda kwenye pool halafu unasema CCM Ndo adui yako!Inaweza pia ikawa mwisho wa amani wa nchi yetu maana kuwa watu tunaamini na tunaona kabisa kuwa ccm ndiye adui wa maendeleo yetu na nchi yetu,sasa andaeni mpango wa kutueliminate kwenye USO wa Tanzania kama mpango ni kutulazimisha tubaki na adui yetu ccm
Ma jingalao yameingia mitini!cc..jingalao,stroke,Yehodaya,motochini,mudawote,Rutashobolwa,na vijana wote wa lumumba buk 7,kujeni huku#
Ndg kama unadhani ccm itweza kufanya kazi bila upinzani unakosea sana labda kama wewe mtoto ndo utasema hivyo.Sisi tuliokuwepo tangu chama kimoja tuliona ccm ilivyo haribu nchi maana tulikuwa na mashirika ya umma yote yalikufa sababu ya kuingiza siasa ila kama nia ni kurudi kulekule tulikotoka sawa tu ila watakao umia sio wanasiasa ni sisi wananchi wa kawaidaZitto amkumbatie mkewe aacha tufanye kazi,na atambue hii sio serekali ya jk
nooma sana, pole TANZANIA yanguJambo la kushangaza mno ni kwamba baada ya kuteuliwa ndiyo wametakiwa wapeleke vyeti. Huu ni utaratibu gani? What kind of vetting is this? Katika hali ya kawaida walitakiwa wawe wameshafahamika ndo wateuliwe. Mpaka kuna taarifa kuwa miongoni mwa wateule wana vyeti vya hotel management. Sasa itakuwaje?