Uteuzi wa wakurugenzi 187 wazua hofu

Inaweza pia ikawa mwisho wa amani wa nchi yetu maana kuwa watu tunaamini na tunaona kabisa kuwa ccm ndiye adui wa maendeleo yetu na nchi yetu,sasa andaeni mpango wa kutueliminate kwenye USO wa Tanzania kama mpango ni kutulazimisha tubaki na adui yetu ccm
Mkuu chukulia mfano wa zanzibar
Kwa hilo unalolifikiria bado sana kwa watanzania
 
Inaweza pia ikawa mwisho wa amani wa nchi yetu maana kuwa watu tunaamini na tunaona kabisa kuwa ccm ndiye adui wa maendeleo yetu na nchi yetu,sasa andaeni mpango wa kutueliminate kwenye USO wa Tanzania kama mpango ni kutulazimisha tubaki na adui yetu ccm
Unashinda kwenye pool halafu unasema CCM Ndo adui yako!
"Shame on you ''
 
Wamepwaya sana hawa akina ZZK. Yaani sahivi wao kila kitu wanalialia tu, wabadilike ama sivyo JPM atawapoteza kabisa na vyama vyao vya msimu
 
Huu utalalila wenu hapa mitandaoni wala haina cha kuwasaidia, mtaani mnaonekana mmeishiwa kweli kweli
 
Hiyo ni hofu yenu tu, kuwa kada halafu ukawa DED hauathiri sana uchaguzi kama wananchi wa eneo husika wameamua kumpiga chini mgombea wasiye mtaka mfano mzuri ni Pemba
huko Returning officers wote ni makada lakini wanabanwa na wanachi mpaka pemba yote inaangukia mikononi mwa CUF ukiacha uchaguzi wa awamu hii ambao ni case tofauti
 
Zitto amkumbatie mkewe aacha tufanye kazi,na atambue hii sio serekali ya jk
Ndg kama unadhani ccm itweza kufanya kazi bila upinzani unakosea sana labda kama wewe mtoto ndo utasema hivyo.Sisi tuliokuwepo tangu chama kimoja tuliona ccm ilivyo haribu nchi maana tulikuwa na mashirika ya umma yote yalikufa sababu ya kuingiza siasa ila kama nia ni kurudi kulekule tulikotoka sawa tu ila watakao umia sio wanasiasa ni sisi wananchi wa kawaida
 
a2f0f0ca44ea920d93f5a7ef4d8038ec.jpg

Baada ya Rais John Magufuli kuteua wakurugenzi 187 wapya, baadhi ya wanasiasa na wanataaluma wamesema uamuzi wa kuteua makada wa CCM kushika nafasi hizo za ukurugenzi wa wilaya utaathiri Uchaguzi Mkuu ujao.

Rais Magufuli, ambaye alikuwa akijielezea kuwa si mwanasiasa, juzi ameteua zaidi ya makada 30 walioshindwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge mwaka jana, kushika nafasi hizo. Ni wakurugenzi 65 tu waliobakizwa.

Hatua hiyo ya kuteua watendaji wa wilaya kutoka miongoni mwa makada waliowahi kugombea uongozi wa kisiasa, umekuja siku chache baada ya Ofisi ya Rais-Utumishi kutangaza makada wengine kushika nafasi ya makatibu tawala wa wilaya, uteuzi ambao pia ulilalamikiwa kuwa unaingiza siasa kwenye utendaji.

“Rais anajenga mfumo wake kwa kuteua watu loyal (watiifu) kwake. Hivyo anaandaa uchaguzi wa 2020 kwa kuweka returning officers (wasimamizi) wake na bado atabadilisha maeneo mengi zaidi kuelekea huko,” amesema Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT Wazalendo.vip mtazamo wako juu ya hili..
 
Jambo la kushangaza mno ni kwamba baada ya kuteuliwa ndiyo wametakiwa wapeleke vyeti. Huu ni utaratibu gani? What kind of vetting is this? Katika hali ya kawaida walitakiwa wawe wameshafahamika ndo wateuliwe. Mpaka kuna taarifa kuwa miongoni mwa wateule wana vyeti vya hotel management. Sasa itakuwaje?
 
nooma sana, pole TANZANIA yangu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom