Hivi huyu mzee Mpango afya yake ilisha tengamaa? Maana jana tarehe 18, November 2026 kateuliwa kuwa mkuu wa chuo cha SUA pale Morogoro.
Ikumbukwe alistaafu Umakamu wa Rais sababu za kiafya!
Hivi huyu mzee Mpango afya yake ilisha tengamaa? View attachment 3712885Maana jana tarehe 18, November 2026 kateuliwa kuwa mkuu wa chuo cha SUA pale Morogoro.
Ikumbukwe alistaafu Umakamu wa Rais sababu za kiafya!
Alimuomba mtawala mapema sana kuwa anaomba apumzike utumishi wa umma, nadhani pia hajasema kama sasa yupo tayari kurudi kutumikia umma. Aliainisha sababu zake kuwa anawaachia wengine vijana waendelee kutumika ....sasa sijui anayemteua ana maana Gani? Maana mhusika aliomba kistaarabu tu anajijua mwenyewe na afya yake pamoja na uwezo wake wa utendaji kazi akaona inatosha apumzike acheze na wajukuu. Inapaswa tujifunze kusikiliza wengine, wapo wengi sana wanatamani kupumzika utumishi ila wanaogopa kumwambia mtawala wakihofia atawatafsiri tofauti lakini Hawa wenye ujasiri wa kumwambia mtawala kuwa wanaomba wapumzike kwa hiari...mtawala anatakiwa awasikilize awaache wapumzike.....nabakia kusema sijui aliyemteua ana lengo Gani naye sijaelewa
Mkuu wa Chuo ni ceremonial post, The day to day operations are well taken care of the Vice Chancellor huyo anaenda muda wa kugawa Vyeti tu labda na Kama kuna Inauguration of buildings or any University related projects ndio anaenda