Uteuzi wa Job Masima kuwa Balozi Israel ni ishara ya Rais Magufuli kuinoa na kuiimarisha TISS

mkuu Richard umeandika makala ndogo lakini nzuri ila ipo in a nutshell sana.

Umeandika balozi masima ameteuliwa ki mkakati kwenda tel Aviv, mkakati upi sasa?

Umeandika rais magufuli anaimarisha TISS, je ni rais gani aliyeingia madarakani akiwa na lengo la kuidhoofisha hiyo TISS?

Muwe mnajaribu kufafanua mambo kama haya ili na sisi watu wa hali ya chini tuweze kuelewa mambo makubwa yanayohusu hii nchi yetu.
Ninawasilisha.

Nakupata na kwa kweli huwa napenda sana makala kama hizi ziwe "in a nutshell"

Hii inasaidia sana kutufanya wote tutafakari kwa undani.

Mkakati ni kuhakikisha kwamba uhusiano na Israel unaimarishwa na kuwa kama nilivyoeleza.

Pili, kwa kuwa waisraeli ni wazuri kwenye masuala ya usalama na jeshi, basi watafanya kama nilivyoeleza pia.
 
Back
Top Bottom