Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,355
- 23,759
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya watanzania. Amewapa matumaini ,tabasamu na nyuso za furaha watanzania.
Uteuzi na Hatua ya Kumteua Uwaziri Mkuu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Au waweza Kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi humwita na kutambulika kwa watanzania umewafurahisha sana watanzania. Waweza kusema kila mmoja ni kama alisubiria kwa hamu kubwa sana uteuzi huo.
Ni kama kila mmoja alihitaji kusikia Jina hilo likipewa nafasi ya Uwaziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanini Watanzania wamefurahishwa na kukoshwa na Uteuzi huo? Jibu ni Kuwa kila mtanzania anafahamu na kutambua mchango mkubwa na kazi kubwa iliyofanywa na Mheshimiwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba alipokuwa Waziri wa Fedha.
Kila mmoja anafahamu na kutambua ya kuwa Mr Clean ni kiongozi mchapakazi kwelikweli mwenye moyo wa kujituma na kutaka kuona matokeo chanya yakipatikana . Ni kiongozi ambaye hapendi mzaha kwa watumishi wazembe wazembe . Mr Clean huwa hana utani linapokuja suala la kuwatumikia wananchi wanyonge.
Ni kiongozi Mwenye uzalendo kwelikweliiiiiii kwa Taifa letu na ambaye amelibeba Taifa katika kifua chake. Ndio sababu siyo ajabu kuona akivaa Tai yenye rangi ya bendera ya Taifa kifuani pake na hata shingoni pake pakiwa na skafu yenye Rangi ya bendera ya Taifa.
Ni kiongozi ambaye Damu yake ni Tanzania tu. Kwake Tanzania ndio kipaombele chake. Ndio maana amekuwa na uchungu mkubwa sana na amekuwa akizungumza kwa uchungu mkubwa sana na kwa hisia kali sana pale anapoona kuna mtu anayechezea amani ya Taifa letu na kutaka kuhatarisha usalama wa Taifa letu
Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Ni kiongozi mnyenyekevu na mwenye huruma sana. Ndio sababu kwa huruma yake na upendo wake kwa watu amekuwa akisomesha watoto wengi sana yatima na wasio na uwezo katika shule nzuri kabisa huku akiwahudumia na kuwapatia mahitaji mbalimbali bila ubaguzi .
Ni kiongozi ambaye amekuwa msaada kwa watu . Ndio sababu kwa mikono yake kainua wengi sana waliokuwa chini. hata kama wengine hawamkumbuki lakini yeye hajawahi kukata tamaa kusaidia wengine. Kwa mikono yake amewezesha wengi kutimiza ndoto zao na kuinuka kimaisha. Kwa mikono yake amewavusha wengi na kuwapa matumaini pale walipokuwa wanapitia magumu na kukata tamaa na kupoteza matumaini.
Kwa mikono yake amewavuta wengi waliokuwa chini na hawana matumaini ya kuinuka na kusimama. Hata kisiasa amekuwa mwalimu wa wengi na amewasaidia wengi sana kukua na kukomaa kisiasa.
Mr Clean ni kiongozi muadilifu sana na asiye na makando kando ya aina yoyote ile. Ndio sababu hajawahi kukumbwa na kashifa ya aina yoyote ile mbaya.
Embu fikiria amekaa katika wizara ya Fedha kwa muda mrefu lakini hajawahi Kugusa hata mia kodi ya Mtanzania. Ni kiongozi mwenye uchungu na Taifa hili na watanzania. Kwake furaha na fahari yake ni kuona watanzania wakipata huduma na kuhudumiwa ipasavyo na vyema bila ubaguzi.
Yeye amekuwa ni mtu na kiongozi ambaye anawaza juu ya kesho njema na bora kwa watanzania. Ni kiongozi safi na aliyenyooka kimaadili kama rula. Hana doa la aina yoyote ile. Ni kiongozi mwenye ujasiri na uwezo mkubwa sana. Hana uoga katika kukemea maovu na mabaya. Kwa sababu yeye mwenyewe ni kiongozi safi mwenye mikono safi .
Kwa hakika kazi inakwenda kuchapwa kwelikweli, maendeleo yanakwenda kusonga kwa kasi kubwa sana.miradi ya maendeleo inakwenda kutekelezwa kwa kasi kubwa sana chini ya usimamizi mahili wa huyu Mwamba Mwenyewe nguli wa Uchumi na mwenye ufaulu mkubwa na wa juu sana katika masomo yake ya ngazi ya shahada ya kwanza ya uchumi pale chuo kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM. Ambapo alipata First Class na kupata nafasi ya kufanya kazi Benki kuu ya Tanzania yaani BOT.
Nakuja kuendelea kumuelezea kwa undani zaidi mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Maana kuna mengi sana ambayo ningependa myajue.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.