𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.
𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗡𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗢𝗛𝗘𝗦𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜
Kuna nyakati ambapo picha moja haiwezi kueleza falsafa nzima ya uongozi, lakini inaweza kutupa nafasi ya kutafakari kwa kina kuhusu uongozi, unyenyekevu, imani na Taifa. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa katika mazingira ya ibada ni...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨: 𝗧𝗨𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗘 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗗𝗨𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuendelea kuliombea Taifa na kudumisha amani, akisema amani ni msingi unaowezesha wananchi, taasisi za dini na Taifa kwa ujumla kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo.
Amesema...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itakayofanyika Siku ya Jumatatu ya Tarehe 24/8/2026 Mkaoni Tanga.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI
▪️Atoa siku 14 Kituo cha Kitaifa cha Oparesheni kianze kufanya kazi
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa wizara na taasisi zinazohusika na Kituo cha Kitaifa cha pamoja cha Oparesheni zipeleke wawakilishi ili kianze kufanya kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita .
Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
baada
billion
dktmwigulunchemba
kanisa
kanisa la anglikana
mkuu
moja
mshauri
mwigulumwigulunchemba
tanzania
uchapakazi
wake
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo.
Soma hapa 👉Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametoa rai kwa wananchi...
Katika mwendelezo wa hotuba yake akiwa Iringa leo, Mei 23, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu wimbi la taarifa za utekaji zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, akizitaja kuwa ni “michezo na ajenda maalum” zilizoratibiwa na watu wenye akili wanaolenga kuivuruga na kuichafua...
VIONGOZI WA AFRIKA NA UFARANSA WAJADILI UWEKEZAJI NA MAENDELEO
▪️Dkt. Mwigulu asisitiza matumizi sahihi ya rasilimali ili kujenga uchumi wa Afrika
▪️Rais Macron atangaza uwekezaji wa dola bilioni 27 Barani Afrika
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 12, 2026 ameshiriki katika ufunguzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa na muda huu wananchi na wasomi mbalimbali Nchini wanaendelea kufanya Tathmini ,utafiti na kufuatilia ziara za Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba katika Mikoa mbalimbali Nchini.
Ambapo Mpaka Sasa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, Leo Machi 04, 2026 akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, ametoa maelekezo kwa mamlaka husika kumfukuza kazi muuguzi wa mkoani Tabora aliyedaiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji wa tumbo nyumbani kwake badala ya hospitalini.
Mbali...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Serikali kuandaa jedwali la kuonesha namna walivyotatua kero za wananchi katika kila wiki ya mwisho wa mwezi.
Amesema hayo leo Jumapili (Machi 01, 2026) katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi za Zamani, Babati Mjini mkoani Manyara...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini.
Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Au waweza Kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita .
Au waweza Kumwita Mr First Class Hii ni kutokana na kupiga First Class alipokuwa chuo kikuu cha Dar es salaam...
Ndugu Zangu watanzania,
Kiukweli na kwa hakika Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean Ameiva kwelikweli. Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hakukosea hata kidogo kumpendekeza au kupendekeza jina lake kuwa Waziri Mkuu wetu...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji...
Sijajua kama Mwigulu anafikiria kabla ya kuzungumza. Jana Novemba 24, 2025 na leo pia wakati anazungumza na wahariri amesema kulikuwa na watu wamezamia maandamano ambapo walikuwa hawajui hata kiswahili.
Wawe waliandamana au walibeba silaha kuua watu, huu ni udhaifu mkubwa sana kwa serikali hii...
Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi 1642
6. Pikipiki binafsi 2268
7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.