Uteuzi wa baraza jipya la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa baraza jipya la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MRIMI MWESO, May 5, 2012.

 1. M

  MRIMI MWESO Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni sheria au ibara gani ya Katiba iliyotumiwa na MH. RAIS kuteua wabunge wa kuteuliwa kuwa Mawaziri/Manaibuwaziri kabla ya kuapishwa Bungeni? Naomba kusaidiwa!
   
Loading...