Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa m/kiti wa TIC
Hata hiyo moja inatosha. Cha muhimu maishaDuuu sisi wenye kadigrii kamoja awamu hii tumenasa!
I wish I culd be PhD holder
Teuzi zitaisha maprofesa watakapoishaDuh kumbe bado teuzi hazijaisha tu. C mchezo.
Ukute ma profesa wenyewe wa longi,mmnh ndio maana anaishia kutumbua tu baada ya muda mfupi.Dah!
Jamaa anapenda sana hao maprofesa na madokta aisee.
Siku hizi digirii ni kama darsa la saba ..Teuzi zitaisha maprofesa watakapoisha
Shida si uteuzi ila wewe hsuko up to dateDuh kumbe bado teuzi hazijaisha tu. C mchezo.
Halafu siku hizi ajuza FaizaFoxy haonekani...maana yupogo makini kurafuta ratio ya hizi mambo...
Acheni ujinga,Mwl Nyerere aliteua mawaziri karibu miaka 20 bila waziri wa kabila ya Kihaya au kutoka mkoa wa ziwa magharibi uliobadilishwa na kuitwa mkoa wa Kagera wala wahaya hawakulalamika.Lake Zone Kama kawa
Vipi kuhusu Sir george kahama (rip) hakuwa wa kwenu huyo ? Acha uongoAcheni ujinga,Mwl Nyerere aliteua mawaziri karibu miaka 20 bila waziri wa kabila ya Kihaya au kutoka mkoa wa ziwa magharibi uliobadilishwa na kuitwa mkoa wa Kagera wala wahaya hawakulalamika.
Ipo mikoa ilipewa upendeleo toka elimu ya sekondari hadi barabara za lami,mikoa ya kanda ya ziwa tena alikotoka Mwl hawakulalamika.
Ikaja vita ya Kagera ambayo haikuanzishwa na Kagera bali mahusiano mabovu kati ya Nyerere na Idi Amini na kuitumbukiza Mkoa huo kwenye majanga bila fidia au kuwapiga jack wala hawakulalamika.
Mbona kuna mikoa ilipewa mawaziri,na viongozi wenye upendeleo miaka takiribani 50 na wenzenu wako kimiya au tugawane fito tuone nani mbabe?