UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

Acheni ujinga,Mwl Nyerere aliteua mawaziri karibu miaka 20 bila waziri wa kabila ya Kihaya au kutoka mkoa wa ziwa magharibi uliobadilishwa na kuitwa mkoa wa Kagera wala wahaya hawakulalamika.
Ipo mikoa ilipewa upendeleo toka elimu ya sekondari hadi barabara za lami,mikoa ya kanda ya ziwa tena alikotoka Mwl hawakulalamika.
Ikaja vita ya Kagera ambayo haikuanzishwa na Kagera bali mahusiano mabovu kati ya Nyerere na Idi Amini na kuitumbukiza Mkoa huo kwenye majanga bila fidia au kuwapiga jack wala hawakulalamika.
Mbona kuna mikoa ilipewa mawaziri,na viongozi wenye upendeleo miaka takiribani 50 na wenzenu wako kimiya au tugawane fito tuone nani mbabe?
kwa hasara Tanzania iliyopata kwenye vile vita ni kubwa sana, yale madeni mpaka leo hayajaisha. wakati mwingine unaweza kuwaza ni kwa nini Nyerere hakuacha tu huo mkoa uchukuliwe.
 
Lakini mbona tarehe ni yazamani? mbona taarifa imechelewa kutolewa wenye uelewa na jambo hili naomba msaada jamani.
maana taarifa imetaja mei 31 lakini barua imeandikwa june 14 na ndani ya barua inasema uteuzi huu unaanza mara moja.
Hapo hata sijaelewa kabisa. Hii kali mkuu!
 
Back
Top Bottom