UTEUZI: Rais Magufuli amteua Prof. Rutasitara kuwa M/kiti wa Bodi ya TIC

Sir George Kahama ni wa wapi?
Over 20 years out 27 years of Nyereres rule Kagera hawakupata waziri kwa miaka yote mfululizo.
Kahama was a minister in early independence years during Nyerere presidency.
 
Nyerere alivyofika Uingereza kwa mara ya kwanza aliwakuta wanasheria sita Watanganyika na wote walikuwa ni Wahaya.

Nyerere alikuwa na reasons kwenye misimamo yake.
 
Umeandika huku mwenyewe unajishuku
Kwa lipi nijishuku, sana sana nimeandika huku nikitafuta angalao nia njema katika yale yanayo pingwa na baadhi ya watu lakini inakuwa kama hawaoni, wala hawakumbuki walicho dai. Nikitazama nadhani walitaka haya yatendeke watakapo ingia madarakani wao, ila bado hawaja ingia kwa sasa. Nakosa imani nao kabisaaaaaa.
 
Sidhani. Shida iko hao watekelezaji wanacopy na kupaste bila kuacknowledge chanzo. Hiyo lazima ilalamikiwe. Fikiria rais angeshukuru wapinzani kuleta hiyo changamoto, akiri kuwa CCMScrow waliteleza kusifia ujinga na aendelee mbele bila kebehi unadhani kungekua bado na hizi hoja?
 
Hapo sasa nakuelewa acknowledgment ndio imekosekana. Usitaraji hilo toka mpinzani wako daima, pia badala ya kupinga ulichopigania na ambacho ungetekeleza pale ambapo umeshika dola ukiona kinatekelezwa tumia kama mtaji na kuonesha ungefanya zaidi kama ni wewe ili kutunisha mtaji wa kura usoni. Ukikipinga unataraji nini?
 
Uwanja wa kukitangaza sasa. JPM kazuia siasa halafu anafanya yale ya wapinzani. Backlash lazima iwepo. Wapinzani watatafuta slightest mistake na kudilute kazi yake yoyote. Na yeye ataendelea kutafuta huruma kwa raia maana ndie pekee mwenye hiyo chansi
 
Kitambo kabla ya JPM nilisikia kelele nyiiingi kuwa mfumo mzima unahitaji kubadilishwa.
Naona JPM anaubadili mfumo mzima hatua kwa hatua walio kuwa wakipiga kelele zile zile sasa wanalaumu tena kuwa kila siku uteuzi. Auu!!!! huo mfumo ni limashine fulani nini? Au labda mawaya waya na maswichi na mapaipu fulani nini
Tangu lini kubadilisha watu ikawa ndio kubadili mfumo?!

Tuchukue mfano mdogo sana. Mfumo wetu wa elimu ni 7+4+2+3(4)(5)= Kiswahili + English.

Je, hata ukibadilisha watendaji wote wa wizara ya elimu ndo watasema kuanzia sasa kuanzia primary to university tutatumia Kiingereza kufundishia! Aidha, mwanafunzi akimaliza darasa la 7 anaingia sekondari na kusoma miaka 6 mfululizo kisha wanaingia chuo kikuu!

Hilo jambo linaweza kufanyika kwa sababu tu umebadilisha watendaji?!
 
It sounds like the blame is on the tools, huu uliopo tu hauja kuwa exhausted kama watu ni wazembe hauta jua kama mfumo haufai ama unafaa. Kwangu mimi ninge anza na watendaji ambao ni watu obviously kabla ya jambo lolote.

Hii ni kwa kuwa nikiwa na watu safi wataunda mfuma safi kwa manufaa ya wote au kurekebisha mfumo uliopo ili kupata matokeo bora. Hivyo naunga mkono kabisa kuanza na kuweka watu wapya ili kujenga mfumo mpya ikiwa ni pamoja na watendaji wazuri waloo kuwepo toka awali, na wenye kuweza kufanya kazi. Ni miaka mingi uharibifu umekuwa ukifanyika usitaraji matengenezo ndani ya miaka miwili. It takes time and combined effort.
 
Uwanja wa kukitangaza sasa. JPM kazuia siasa halafu anafanya yale ya wapinzani. Backlash lazima iwepo. Wapinzani watatafuta slightest mistake na kudilute kazi yake yoyote. Na yeye ataendelea kutafuta huruma kwa raia maana ndie pekee mwenye hiyo chansi

Well wapinzani wana weza kabisa kufanya kama unavyosema (look for a slightest mistake to dilute kazi yote) lakini swali langu mimi kwa manufaa ya nani?????? Matumbo yao? Umaarufu wao? Na mtanzania jee?
 
Acheni ujinga,Mwl Nyerere aliteua mawaziri karibu miaka 20 bila waziri wa kabila ya Kihaya au kutoka mkoa wa ziwa magharibi uliobadilishwa na kuitwa mkoa wa Kagera wala wahaya hawakulalamika.
Ipo mikoa ilipewa upendeleo toka elimu ya sekondari hadi barabara za lami,mikoa ya kanda ya ziwa tena alikotoka Mwl hawakulalamika.
Ikaja vita ya Kagera ambayo haikuanzishwa na Kagera bali mahusiano mabovu kati ya Nyerere na Idi Amini na kuitumbukiza Mkoa huo kwenye majanga bila fidia au kuwapiga jack wala hawakulalamika.
Mbona kuna mikoa ilipewa mawaziri,na viongozi wenye upendeleo miaka takiribani 50 na wenzenu wako kimiya au tugawane fito tuone nani mbabe?
AHAA WAHAYA BWANA NDIYO MAANA MULITAKA KUMPINDUA
 
Nyerere alivyofika Uingereza kwa mara ya kwanza aliwakuta wanasheria sita Watanganyika na wote walikuwa ni Wahaya.

Nyerere alikuwa na reasons kwenye misimamo yake.
kina Rwizandekwe. Nyerere hakutaka kusikia wala kukubali vile vichwa vilivyo mpita maarifa. aliwafukuza akina kambona, kasanga tumbo akawakumbatia mbumbu kama kawawa. anyway tusilaumu yalikuwa ni maono yake ya wakati ule
 
Na angeshirikiana na vile vichwa Tanzania ingekuwa mbali sana sasa hivi.
 
It sounds like the blame is on the tools, huu uliopo tu hauja kuwa exhausted kama watu ni wazembe hauta jua kama mfumo haufai ama unafaa. Kwangu mimi ninge anza na watendaji ambao ni watu obviously kabla ya jambo lolote.

Hii ni kwa kuwa nikiwa na watu safi wataunda mfuma safi kwa manufaa ya wote au kurekebisha mfumo uliopo ili kupata matokeo bora. Hivyo naunga mkono kabisa kuanza na kuweka watu wapya ili kujenga mfumo mpya ikiwa ni pamoja na watendaji wazuri waloo kuwepo toka awali, na wenye kuweza kufanya kazi. Ni miaka mingi uharibifu umekuwa ukifanyika usitaraji matengenezo ndani ya miaka miwili. It takes time and combined effort.
Jibu swali: Tangu lini kubadilisha watendaji ikawa ndo kubadili mfumo?! Kwanini unasogeza magoli wakati hoja yako ulitaka kuaminisha watu kwamba kubadili watendaji ndo kubadili mfumo?! Au umesahau ambacho uliandika? Hiki hapa:

Kitambo kabla ya JPM nilisikia kelele nyiiingi kuwa mfumo mzima unahitaji kubadilishwa.
Naona JPM anaubadili mfumo mzima hatua kwa hatua walio kuwa wakipiga kelele zile zile sasa wanalaumu tena kuwa kila siku uteuzi. Auu!!!! huo mfumo ni limashine fulani nini? Au labda mawaya waya na maswichi na mapaipu fulani nini?

Alianza kutumbua majipu, makontena, badari, airport, safari za nje ya nchi, ikaja hewa, ikaja feki, na mengine mengi mengi.
Inaonekana hufahamu watu wanaposema mfumo wanamaanisha nini hasa!!!!
 
Jibu swali: Tangu lini kubadilisha watendaji ikawa ndo kubadili mfumo?! Kwanini unasogeza magoli wakati hoja yako ulitaka kuaminisha watu kwamba kubadili watendaji ndo kubadili mfumo?! Au umesahau ambacho uliandika? Hiki hapa:

Inaonekana hufahamu watu wanaposema mfumo wanamaanisha nini hasa!!!!
Hata ukiletewa mfumo gani, kama watu wabovu haina maana yeyote, na kujibu swali lako kuweka watu bora ni jibu tosha kabisa, ukichukulia mfano wako kwa Elimu, ikiwa content zita simamiwa na kuboreshwa kulingana na mahitaji na wakati tatizo liko wapi? Yes ukiweka watu safi ni sawa na matokeo safi. Niambie mfumo gani utafanya kazi wapi, ukiwa na watu wabovu. Focus ni kwenye matokeo yanayosimamiwa na watu, mfumo ni watu, kwa ajili ya watu wenyewe, na ni watu na si vinginevyo.
 
Hata ukiletewa mfumo gani, kama watu wabovu haina maana yeyote, na kujibu swali lako kuweka watu baro ni jibu tosha kabisa, ukichukulia mfano wako kwa Elimu, ikwa content zita simamiwa na kuboreshwa kulingana na mahitaji na wakati tatizo liko wapi? Yes ukiweka watu safi ni sawa na yatakuwa safi matokeo safi. Niambie mfumo gani utafanya kazi wapi, ukiwa na watu wabovu. Focus ni kwenye matokeo yanayosimamiwa na watu, mfumo ni watu, kwa ajili ya watu wenyew na ni watu na si vinginevyo.
You've a lot to learn ni nini hasa watu wanapozungumzia mfumo!!!

Let's assume (anyway, ndivyo ilivyo), sheria zetu zinasema mtu akipatikana na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi basi adhabu yake ni kifungo cha miaka 2. Na ukweli ni kwamba, kwavile ni ngumu sana ku-prove beyond reasonable doubt vitendo vya utoaji na uchukuaji wa rushwa; mara nyingi watendaji wa serikali wanaishia kuhukumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Now tell me... hao watu "wasafi" unaosema wanaweza kutoa hukumu ya zaidi ya miaka 2 wakati sheria inasema hiyo ndiyo hukumu kwa mtu aliyepatikana na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi?!

Hata tukirudi kwenye suala la elimu!! Tafiti mbalimbali zinaonesha moja ya matatizo ya msingi ni lugha inayotumika kufundishia kiasi kwamba wapo wanaoshauri elimu ya kufundishia iwe Kiswahili kwa ngazi zote!!

Sasa unadhani hao watu "safi" wakiingia wizara ya elimu ndo watasema kuanzia next year tuanze kutumia Kiswahili?!

But on top of that, let's assume JPM yupo 100% RIGHT kwa kila anachofanya huku akiwa anateua malaika wasio na makando kando yoyote!!! Ina maana atakuwa Rais hadi mwisho wa dunia?! Do I need to remind you endapo katiba itaheshimiwa mwisho wake wa kuwa madarakani ni 2025?! Do I need to remind you kwamba 2020 kuna uchaguzi mkuu and anything can happen? Do I need to remind you kwamba JPM ni mwanadamu kama mwanadamu mwingine yeyote and anything can happen cha kumfanya ashindwe kuendelea na urais wake?!

If any of the above happens not in favor of JPM; yule atakayefuata nae aje na shows zake yeye the way anavyoona inafaa?!

Lakini watu wanavyozungumzia mfumo... ina maana ikiwa umeshaifahamu jamii uliyonayo ni jamii ya namna gani, basi utaunda mfumo unaoendana na jamii husika ili kutatua changamoto za jamii hiyo!!!

Mchukulie JK kwa mfano! Alijitahidi sana kuunda mifumo lakini kwa bahati mbaya akaunda mifumo isiyoendana na jamii husika na matokeo yake imeshindwa kufanya kazi!!! Haikuwa ni mifumo inayofaa kwenye jamii ambayo majority ya watu wake ni waovu!! Jamii iliyojaa ubinafsi na kujifikiria wenyewe tu!! Hata huyo JPM nae ni wale wale tu....

Afadhali basi katika upanguaji huo angekuwa anaonesha dalili za kutaka kubadili na mifumo lakini hakuna dalili yoyote!! Sana sana alichofanya ni kubadili katiba ya CCM ili awe mgombea pekee 2020 kupitia CCM! And possibly after 2020 kitakachofuata ni kubadili katiba ya JMT ili kuondoa ukomo wa urais!!!
 
Ili kuendelea tunahitaji a) Watu, b) Siasa safi, c) Uongozi bora.

Vitu vyote hivyo vinahitaji watu safi (siyo malaika), watu safi wapo lakini lazima kuwatafuta na kama wapo wasio safi watolewe hata kama tunawapenda (mchakato huu unachukuwa muda na umakini)

Na nionavyo hili linatekelezwa japo litachukua muda na pengine lisitekelezwe jinsi mimi binafsi nitakavyo, ila kama kwa manufaa ya watu mimi nasema - Amina.

Hivyo basi kama sheria ni dhaifu na watu ni wabovu hiyo ni hatari sana. Na kama sheria ni kali sana na watu ni corrupt hiyo ni hatari zaidi.

Sasa ili kuhakikisha watendaji wabovu ambao ni part ya mfumo hawapo, nini kifanyike? Wanatolewa wanawekwa wengine.

JK ilijitahidi kuunda mifumo ambamo majority ya watu ni wabovu, naona JPM anajitahidi kushughulika na wabovu na kuweka anaodhani watafaa, wasipofaa anawatoa na hili liko wazi mifano wazi ipo.

Kwa hatua za kuangalia sheria ameshaonesha nia kwa kutamka hadharani, as I said it takes time. Na anahitaji watu safi.

Kwa Kiswahili katika elimu kwa maana ya lugha tu, sioni kuwa ni ukombozi na haitakaa kuwa ukombozi katika kutoa elimu bora. Kinachitajika kiko wazi, nacho ni content yake kujibu haja za Tanzania ya leo na huko usoni, hata kama tukiamua iwe delivered kwa kireno siyo shida.

JPM ni mwanadamu kabisa na ndiyo maana hata katika kufanya marekebisho haya wanadamu watachukia, wachache wanao ona matumbo yao. Hasa hasa wanapotumbuliwa hata hivyo ni miezi kumi na nane tu toka aanze mimi nina imani sana mpaka sasa,

Huko CCM watajua wanachofanya wabadili katiba wasibadili hilo ni juu yao. Kama mtanzania atanufaika mimi ndo haja yangu hasa hasa kama na mimi pia kama mtanzania nita nufaika.

Na nina amini hata kije chama gani bila watu safi ni balaa tu, na hasa kama watu wenyewe wawe ni kulalamika tu.

Siku zinasonga mdogomdogo ikifika 2020, tutapima na kuamua tena.
 
Mfumo ndio unarekebisha watu!! Tatizo la JK haikuwa kwamba alikuwa na watu wabovu bali aliunda mfumo ambao haulingani na jamii husika!!

Jamii inatakiwa kuwa shaped kutoka hali ya uhovyo hovyo na kupelekwa kwenye misingi inayoonekana ni bora kwa jamii husika! Jamii haiwi shaped na mtu kwa sababu mtu leo yupo lakini kesho hatakuwepo!

Mchukulie JPM... ni nyapara mzuri sana lakini ili kufika tunakotaka hatuhitaji nyapara mzuri bali mfumo nyapara! Mfumo unaosukuma uwajibikaji hata kama muhusika hana silika ya uwajibikaji! Mfumo unaosukuma uadilifu hata kama muhusika hana silika ya uadilifu!

Leo hii ukimchukua mtu yeyote ukampa 1 kg ya heroine ukamwambia achague mwenyewe apeleke wapi kati ya Iran na USA, kuna possibility kubwa atachagua USA. Atachagua USA si kwa sababu wengi wana dream ya kwenda USA bali atachagua USA kwa sababu USA & Iran ni choice between jail & death!!!

Kwahiyo haishangazi vile vile kuona US kuna drugs dealers wengi kuliko Iran si kwa sababu watu wa Iran ni wema kuliko US bali risk ya drugs dealing ni kifo wakati US ni jela... simple like that!! Si kwamba kuna mtu anasimamia hayo ndani ya Iran au US bali mifumo ndiyo inayosimamia na hatimae ku-shape jamii!!!

God forbid, leo hii lilitokea lolote la kumfany JPM asiendelee kuwa Magogoni; in a week or two tunarudi kule kule!! Tunarudi kule kule kwa sababu hakuna mfumo na wala haoneshi kutengeneza mfumo utakaowafanya watu wachukie rushwa, wachukie wizi, wachukie ufisadi, wachukie ukosefu wa uwajibikaji lakini anataka yeye kama yeye ndo asimamie kuhakikisha watu hawaibi, hawachukui rushwa, hawawi wazembe n.k wakati yeye ni binadamu tu ambae hatadumu madarakani milele!!!
 
Back
Top Bottom