Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dkt. Willy Lazaro Mbunju Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu - TSC

Taratibu tu kwa sababu waislam wamestuka wameanza kusomesha,itafika wakati tofauti itakua ndogo sana
Usiangalie dini angalia kazi,hachaguliwi shekhe au askofu hapo
Ooh kumbe Waislam hawajasoma ndiyo maana teuzi zinawapitia kushoto!

Nilikuwa sijui hilo. Ahsante kwa kunijuza eeh Mwanaccm mwandamizi.

FaizaFoxy
 
Tatizo lenu akili mgando mmekariri faili ni karatasi zilifungwa pamoja sekretare anabeba kupeleka kwa raisi

Hamjui dunia imebadilika mtu anafanya kazi hapa ofisi ipo NewYork na mafaili yantumwa ndani ya dakika yamepokelewa.

Hujui hata electronic au softcopy ni nini hata scana kwako ni mtihani.

Nchi ina vilaza kweli
Mbona ilalishindwa mkutano wa kusini et "logistic"!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom