Msg sent and delivered. Kwa taarifa tu. Humu jf Kuna mawaziri halafu Wana ID za ajabu sana.Hakuna ujumbe uliofika🤣🤣🤣
Umemsahau Wa kudada.Msg sent and delivered. Kwa taarifa tu. Humu jf Kuna mawaziri halafu Wana ID za ajabu sana.
Kiduku Lilo alikuawa waziri wa JK
ZERO IQ katibu mkuu wizara nyeti
Miss natafuta Yuko tiss
Kabende msakile Ni dereva utumishi.
Bushmamy Yuko kwa mkuu wa mkoa nyeti.
Deceiver Niko bandarini
Watu wa huko kwa misifa.WanaJF, Salaam!
Nawafahamisha kwamba leo tarehe 02 Desemba 2020 majira ya saa 17:50's nikiwa eneo fulani mkoani Kagera kuna simu fulani imenipigia - it seems wanafahamu details zangu za kikazi, kijamii, na kisiasa...
Sent and deliveredHakuna ujumbe uliofika🤣🤣🤣
Ni ukaririfu tuWatu wa huko kwa misifa.
Si ajabu umepigiwa hiyo simu na mtendaji wa Kijiji ambae anakufahamu fika. Au shemeji yako asiyependa umnyanyase dadake wewe unasema umepigiwa toka Dodoma
Baadhi ya taarifa ulizonazo ni za kitambo fulani nyuma - lkn pia hawa watu kesho wanaweza kutua kwako - humu kweli wamo wengi kada zoteMsg sent and delivered. Kwa taarifa tu. Humu jf Kuna mawaziri halafu Wana ID za ajabu sana.
Kiduku Lilo alikuawa waziri wa JK
ZERO IQ katibu mkuu wizara nyeti
Miss natafuta Yuko tiss
Kabende msakile Ni dereva utumishi.
Bushmamy Yuko kwa mkuu wa mkoa nyeti.
Deceiver Niko bandarini
Watu wa huko kwa misifa.
Si ajabu umepigiwa hiyo simu na mtendaji wa Kijiji ambae anakufahamu fika. Au shemeji yako asiyependa umnyanyase dadake wewe unasema umepigiwa toka Dodoma
Maswali waliyokupa hayaingii akilini na ajira tarajia msg ya tuna hela kipitia namba hii ili uweze kuingia kwenye ajira rasmi.WanaJF, Salaam!
Nawafahamisha kwamba leo tarehe 02 Desemba 2020 majira ya saa 17:50's nikiwa eneo fulani mkoani Kagera kuna simu fulani imenipigia - it seems wanafahamu details zangu za kikazi, kijamii, na kisiasa.
Mmoja kati ya wawili niolioongea nao
🤣Hahah hahaha haaaa
Nimefikiria sana kwanini kati ya vitu vyote umewaza “uteuzi’’ huo uliouita hewa!? Mkuu unaonekana umekaa standby kusubiri uteuzi, Una obsession isiyokuwa ya kawaida ndugu.
Ally Hapi, mzee wa kulazwa makaburini na wachawi wa kihehe.Kama teuzi ni kupiga kazi za CHAMA Basi wengi TUNGETEULIWA...but teuzi ni Mpaka pale MUNGU atake...kwani si CV kubwa peke yake...si CONNECTIONS za kujuana na wakubwa peke yake....
Kuna "washkaji" underdogs kibao wamelamba za mh.mkuu...leo imebaki HISTORIA kwani hata wenyewe HAWAJUI WALIFIKAJE....
Yuko mshikaji kijana mwenzangu leo ni RC...tumehurstle wote....lakini Ninaamini MUNGU alitaka....na pia labda "alishikwa mkono na mstaafu mmoja mkubwa" so it's a matter of BEING SELECTED....na si CV kubwa Wala CONNECTIONS pekee....
MAENDELEO HAYANA VYAMA
Ally Hapi, mzee wa kulazwa makaburini na wachawi wa kihehe.
Makanyagio!