UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

Salaam.

Habari zilizonifikia hivi punde zinasema Hassan Ngoma mtangazaji wa Clouds kipindi cha 360 ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Singida.

Hawa jamaa ndio waliokuwa wanalazimisha kuuaminisha umma kwamba Mh. Mbowe mwenyekiti wa Chadema amewakimbia kwa ajili ya mahojiano nae, kumbe walikuwa wanatafuta kitu waonekane na watawala, sasa ameshakipata alichokuwa anakitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…