Nimefuatilia kwa makini matamshi mbalimbali ya viongozi wa CHADEMA juu ya utetezi wa mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA Bwana Lwakatare. Napata shaka kwa kauli za kubadilika badilika.
Kwanza viongozi hao walishikilia kuwa mkanda huo muetengenezwa siyo halisia. Baadaye wakasema ni njama za Mh Mwigulu Nchemba. Then wakasema ni njama za CCM na Usalama wa taifa.
Leo hii Mabere Marando ameweka simu za watu wengi kwenye gazeti la chama la CHADEMA Tanzania Daima akiwahukumu kwenye public kuwahusisha na mambo mazito tena bila ushahidi wowote, Kwa maoni yangu hii ni kutowatendea haki watu unaoweka simu zao kwenye magazeti ilihali hauoneshi ni kwa kiwango gani wanahusika na hii kesi ys Lwakatare.
Inauma maana kuna rafiki yangu simu yake imewekwa na anatafuta nani wa kumshitaki kati ya Marando au gazeti lililoweka simu yake. Nadhani ni wakati muafaka kwa Tanzania kuweka sheria ya ustaarabu magazetini.
Ni wajibu wa gazeti kutafuta ukweli wa mambo wamayoambiwa. Ikithibitisha kuwa ni uongo basi licha ya muongo kufungwa jela kama ilivyo Uingereza [ huko ni jela miaka 5] INABIDI KUWE NA FAINI YA SHILINGI MILIONI 5O KWA MAGAZETI YANAYOFANYA HIZI KAMPENI ZA KUENEZA UONGO NCHINI
Hutaweza kuelewa mkuu na certificate yako Ihemi/CCM.
Alichosema Tundu Lissu sio siasa tena bali ni professionalism.
Nasikia CCM mnajiandaa kuwateka viongozi wa jukwaa la katiba??

tujenge hoja jamani tusilete ushabiki nakuona viongozoi wa vyama vyetu ni kama miungu chochote wasemacho wao ni sahihi kumbuka wale binadamu kama sisi wana tamaa, huruma nk so wanaweza fanya lolote.Hutaweza kuelewa mkuu na certificate yako Ihemi/CCM.
Alichosema Tundu Lissu sio siasa tena bali ni professionalism.
Nasikia CCM mnajiandaa kuwateka viongozi wa jukwaa la katiba??
Ulichokiandika ni tofauti kabisa na thread uliyoiweka.
umefuatilia kama nani, labda?Nimefuatilia kwa makini matamshi mbalimbali ya viongozi wa CHADEMA
| | |
|
Mimi nadhani mleta uzi uko biased na Tanzania daima . Mbona video inaonyesha wazi marando anaongea na waandishi wa habari tena mpaka ITV ilikuwepo pale. Na mabere aliwaambia atawapa hiyo nakala anayoisoma , sasa tanzania daima imekosea wapi mbona imecopy na kupaste kuna shida gani ktk hilo. Acha waandishi watujuze ni haki yetu kupata habari hata kama upande mwingine wanachukia tupo sisi tusio na vyama . Hii inatuweka mahala pazuri kujua nani mkweli na nani muongo. Time will tell.
umefuatilia kama nani, labda?
Huwezi kuelewa wala kuamini maelezo yaliyotolewa na Viongozi wa CHADEMA.kwa kuwa umejiweka kwenye kundi la watu ambao hako tayari kuelewa chochote kitakacho semwa na CHADEMA kiwe cha kweli au uongo.