Ktk sheria kuna kitu kinaitwa Plain English Movement,kuna sehemu ktk masomo tulipewa mfano,jamaa alishtakiwa kwa kuiba mali,hakimu akasema: mr...wewe ni mwizi aliyeiba....akaendelea na mashtaka na mwisho akamwambia una la kujitetea kabla ya mshitaki kudhibitisha? Jamaa akamjibu hakimu,mh.hakimu mwanzo umesoma vibaya,umeanza mr...ni mwizi,umeiba...una uhakika gani kuwa mi mwizi ? Mi si mwizi ila niliiba...kumbe hakimu alikosea kwa kuanza na conclusion. Hapa ilibidi asikilize madai na utetezi ndo ktk kusoma hukumu ndo angemuita mwizi baada ya kudhibitisha. Na hapo hakimu akapata muda wa kujitetea kwa alichomaanisha na ndo akaendelea na kazi yake, Kwenye sheria kuna mambo huku!