Mnamo tarehe 24 Februari kundi la mujaheddin El Khalq lenye asili ya watu wa KURDI lilivamia makazi ya Ayatollah Khamenei na kuyashambulia kwa risasi.
Idadi ya wanamgambo hao walikua wasiopungua 200 walivamia makazi ya Khamenei kwa lengo la kumuua na kuanzisha mapinduzi wakishirikiana na makundi mengi ya wakurdi kutoka Kaskazini mwa Iraq kurdi state.
Askari wa NOPO walifanikiwa kuzima mashambulizi na kuwaua MEK 100+ na kuwakamata makumi yao wakiwapeleke kizuizini kuwahoji.
Baada ya kuwahoji na kupata taarifa NOPO ilitumwa Kurdi state kuwawinda na imefanikiwa kuvunja moja ya kambi zao Kaskazini mwa Iraq na ukanda wa Boluchistan.
source;CGTN,ALJAZEERA,FRANCE24,AL MAYADEEN.