Kazi ipo, tena kubwa kweli kweliDreson4 , njunwa wamavoko
nina rafiki yangu mmoja mkenya pale nairobi,he holds a degree in Biochemist,yet he is a drummist in praise and worship team of a local born again church, that's what he does for a living.nikamuliza how comes msomi kama wewe wa biochemist frm kenyatta university huna kazi?.akaniambia mazee hiyo field not only in kenya but the rest of eastafrica,it aint pays at all.
Dreson4 , njunwa wamavoko
nina rafiki yangu mmoja mkenya pale nairobi,he holds a degree in Biochemist,yet he is a drummist in praise and worship team of a local born again church, that's what he does for a living.nikamuliza how comes msomi kama wewe wa biochemist frm kenyatta university huna kazi?.akaniambia mazee hiyo field not only in kenya but the rest of eastafrica,it aint pays at all.
Mkuu naona umejaribu kuonyesha kua sio Wanafunzi tu wenyewe, na serikali nayo imekaa na kuwazia siasa tu na kusahau kua tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia. Ni aibu, na ni kweli upande mwingi umelalia kwa serikali, ni jukumu la serikali kuwatengenezea wanafunzi exposure wapate kuyajua mambo ya dunia yanavokwenda, wapate kua na ufikiria wa mbali. Tofauti nilikuja kuiona baada ya kumaliza highschool bongo na wenda kusoma nje moja ya vyuo vikubwa tu duniani. Nje nimekutana na watoto high school wanatengeneza vitu vikubwa sana, mfano kuna kampuni ya Intel hua inafanya mashindano kila mwaka, wanafunzi wa highschool wanafanya project mbalimbali na kutengeneza devices afu mshindi anapewa zawadi, kuna watoto wametengeneza robots, moja katengeneza device ambayo inaweza kuchaji betri ya simu full ndani ya dakika moja, mwingine katengeneza Virtual Reality headset. Hawa ni high school, wakiingia chuo wakamaliza wanakua sehemu gani??
Wanapata support kubwa, Ni kweli Serikali na hata watu wenyewe pia wamekalia sana siasa, wamesahau mambo mengine ya msingi zaidi
Huyo ni Mzembe au Dini imemshika mpaka kaona hii elimu ni uzushi
Pale Muhimbili mwaka jana walikuwa na Lecturer kutoka Ethiopia just b'se maticha walikuwa hamna kabisa ikabidi mkuu wa department ya Biochemistry afanye mishe kuwatafuta hata walau wadau waliosoma wote huko nje wajee kumpa shavu la kufundisha
UDSM kuna Biotechnology na wanaazima Lecturer kwa ajili ya kufundisha Biochemistry nisijue huko SUA maana sina exposure nao...hivi ni vyuo vya serikali
Ukija vya Private ndo usiseme kabisa Lecturers hamna kabisa ni full kuazima kuanzia St.Francis,St.John University(kuna pharmacy),Hubert Kairuki, etc
Na Malecturer wa Biochemistry wana WIGO mpana wa kutengeneza hela kwa RESEARCH mfano kuna Lecturer mmoja huwa tuko Peace ananambia amefanya RESEARCH ambayo inayojaribu kuelezea kwa nn Wagonjwa wenye kuumwa na TSE TSEFLY wanakuwa na SLEEPING SICKNESS anajaribu kuielezea mechanism kwa kutumia Biochemical rxns na anategemea kula mpunga mzuri tu anavyodai
sasa huyu Mkenya mm simuelewi anaposema hii Biochem hailipi EAST Africa nzima
Zaidi Basi ajiendeleze akasome Hiyo Genetic engineering beyond doubt ataajiriwa kwenye makampuni makubwa tu yanayofanya Hizi issue
Duuh!Kumbe makamu waraisi yuko poa katika Neclear rxns?
Au ni kama Mark mwandosia amabaye nasikia ni Bonge la Engineer tena upigisha Pindi hata Ughaibuni huko lkn naye akajitosa katika SIASA:angry:
Poor Him
Poor Tanzania