maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,336
- 3,065
Mbona wanapinga mpaka sahizi kama #nyukilia vile na ndo maana Korea kaskazini aliamua kujitoa maana haiwezekani mmarekani yeye atengeneze harafu wengine anawakatalia kutengenezaWanaJF,
Natumai wote tupo poa.
Baada ya kutoka kanisani leo nimekuwa natafakari madhara ya vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani kama Ukraine, Sudan etc.
Naendelea kujifikirisha hapa kwa nini viongozi wetu wakubwa wa dunia kama Umoja wa Mataifa wasipige marufuku utengenezaji wa hizi silaha kali za kivita sababu lengo lake ni kwenda kinyume na afya ya binadamu.
Ebu fikiria unampa mtu chanjo au dawa ya kufubaza virusi vya ukimwi halafu baada ya hapo unampa jirani yake silaha amuue. Sasa hapo tunaokoa nini?
Tupinge ukoloni huu wa kuua wenzetu.
Tuandae pia petition ya kupinga utengenezaji na uuzaji wa silaha duniani.
Hii itasaidia dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
Nawasilisha
Sasa kuna faida gani kukinga watu na dawa na chanjo halafu uwape silaha wajiuwe wenyewe?Ni biashara yenye faida,huwezi zuia maslahi ya watu wenye nguvu.
Unapata faida gani ukimuua binadamu mwenzako?Watengeneze tu Vyuma
Tena Mpk hapa Kwetu zije tununue Zaidi...
Dharau zitapungua sana... Coz ukizngua tu nakuweka
Hakuna Dunia bila silaha labda mbinguni, silaha ni ulinziNajaribu tu kufikiria hii dunia ingekuwa salama kiasi gani kama kusingekuwa na hata bunduki au bomu inayotengenezwa na nchi yoyote.
Mm sio mwandish au msimuliaji mzuri lkn hii mada imenigusa kiasi flani na nimeipenda.
1. Ukiangalia bajet ya ulinzi pekee kwa mataifa mengi ni kubwa Kuliko bajet zote.
Yaan mataifa mengi yamekaa Tayari kwa kupigana vita muda wwt tu hakuna wanachowaza zaidi ya hicho.
Bajeti ya ulinzi ya Taifa kam America inaweza kulisha bara lote la Africa na tukasahau habari ya njaaa kabisa.
Hii inamaana kwamba muda na gharama za kufanya research kwenye silaha hatari na Ndege za kivita Kama ungetumika kwenye mambo mengine Kama Kilimo na elimu huu ulimwengu umgekuwa Kama Bustani ya Eden.
Jaribu tu kuvuta picha ya kifaru cha kivita.
Kama kifaru kingekuwa trekta la kulima hv kungekuwa na njaaa hapa duniani?
Vifaru vyote vigeuzwe matrekta ya kisasa na viingie mashambani nakuhakikishia ndani ya miaka mitatu tu njaaa yote duniani itaisha.
My point: Kama alivoeleza mtoa mada hapo juu hizi sihaha hazin faida kwa binadam zaidi ya kumwangamiza .Na zimelundikana Maelfu kwa maelfu . Ubinafsi na tamaaa iliyopitiliza ndio itayommaliza binadamu kwenye hii Sayari. Hakuna anayewaza kuhusu silaha za Nyuklia siku zitakapotumika na kuiangamiza dunia na vyote ndani yake.
Tunashabikia vita ya Urusi na Ukraine Bila kujua dunia iko kwenye hatari ya vita mbaya kuwahi kushuhudiwa kabisa (Nuclear war).
Dunia Bila silaha za hatari inawezekana japo ni ngumu kumeza Ila tunakaribia kulikoroga tukifa 3/4 ya hii dunia kwa vita ya nuclear [emoji3518]
Watakaopata Bahati ya kupona akili itawakaa sawa na hawatahitaji hata mkuki Au bunduki kujilinda . Watachukia silaha na hawatazihitaji milele [emoji1787][emoji1787]
Kwani binadamu hatuwezi kuishi bila kuwa wezi au wanyang'anyi wa kutumia silaha?Hakuna Dunia bila silaha labda mbinguni, silaha ni ulinzi
Imagine wezi na majambazi wangeiba na kuua watu kila sekunde zaidi ya watu 100 ungesikia wameiliwa kwa siku na wezi, vibaka na majambazi kwasababu jeshi la polisi hawana silaha Nini kiwaogopeshe.
Imagine hapo kwako usiwe hata na panga wezi wataiba na kukuoiga makofi
Imagine nchi isiwe na silaha ingekuwa inainhikiwa na nchi nyengine au vikundi vya kiharifu tu kweupe vhukulia Malawi ilivyoanza mgogoro kwenye ziwa nyasa
Nchi kazima iwe na silaha kujilinda, majeshi, familia inabidi iwe hata na panga ndani, msela inabidi uwe na panga geto, mwanmke ukitembea Usiku uwe hata na kashoti kwa kumdhibiti mwizi
Dunia haitohitaji silaha mpaka pale kilamtu atapokuwa msafi Kama mtoto mchanga
πππ Hii hoja kwahio kumbe hawa wezi na wahalifu waliopo binadamu tuliwai kukaa chini tunakubaliana baadhi yetu wawe weziKwani binadamu hatuwezi kuishi bila kuwa wezi au wanyang'anyi wa kutumia silaha?