Michael Bosco
Member
- Jan 10, 2010
- 85
- 47
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza
Kwa uzoefu wangu mdogo wa upishi wa maandazi ya nyumbani huwa natumia :unga,hamira, sukari,maji/maziwa kidogo na iriki
Utanisamehe upande wa vipimo ntakadiria mana nna upishi wa mazoea
Maandalizi
1.Unga wa Ngano kilo moja (sikumbuki yanatoka mangapi ila kitu kama 40 size ya kati)
2.nasaga kwenye blender mill ndogo ile iriki yangu
3.nachekecha unga wangu kutoa uchafu wowote,
4.nachekecha iriki ile nliosaga kwenda ndani ya unga...kadiria iwe labda vijiko viwili
5.naweka sukari looh vipimo sijuii jmn mapishi ya kizungu..nakadiria...fanya kikombe cha chai kidogo kile kimoja
Nachanganyaa
6.naweka maji ya uvuguvugu na hamira naichanganya vizuri kwenye kibakuli pembeni...uzuri hamira imeandikwa pakti moja kwa nusu kilo kama sikosei hivyo huwa natumia mbili ama mbili na nusu
7.namix hio hamira kwenye unga wangu wenye sukari na iriki tiyari
8.naanza kuweka maji taratibu na maziwa kikombe kidogo kimoja kinatosha
9.nakanda hadi uwe vizuri
10.naufunikia ktk sufuria safi nauacha dk 45 uumuke
11.naweka kikaangio jikoni ,waweza tumia deep frier,napenda tumia sufuria nzito
12.nautizama unga wangu utakuta ushaumuka naanza kukata vipande nasukuma kama chapati afu nakata shape ya andazi nalotaka
Waweza tumia kisu kukata shape za pembe tatu,kikombe au bilauri kutoa shape za duara ama shape special za kununua nk
Ukishakata yaache tena yaumuke kidogo
Jikoni huko uwe ushaweka mafuta muda unakata maandazi huku
Baada ya hapo anza kuweka jikoni...moto usiwe mkali sana yakaiva nje ndani hola
Ivisha upande mmoja then yageuze yaive upande wa pili
Andaa chombo cha kuwekea...yatoe jikoni uweke humo
Hadi nmemiss kuyapika
Mengine utajiongeza mbinu
Nipikie BA's mm mengii halaf nije kuyachukua,nitanunua lakinKwa uzoefu wangu mdogo wa upishi wa maandazi ya nyumbani huwa natumia :unga,hamira, sukari,maji/maziwa kidogo na iriki
Utanisamehe upande wa vipimo ntakadiria mana nna upishi wa mazoea
Maandalizi
1.Unga wa Ngano kilo moja (sikumbuki yanatoka mangapi ila kitu kama 40 size ya kati)
2.nasaga kwenye blender mill ndogo ile iriki yangu
3.nachekecha unga wangu kutoa uchafu wowote,
4.nachekecha iriki ile nliosaga kwenda ndani ya unga...kadiria iwe labda vijiko viwili
5.naweka sukari looh vipimo sijuii jmn mapishi ya kizungu..nakadiria...fanya kikombe cha chai kidogo kile kimoja
Nachanganyaa
6.naweka maji ya uvuguvugu na hamira naichanganya vizuri kwenye kibakuli pembeni...uzuri hamira imeandikwa pakti moja kwa nusu kilo kama sikosei hivyo huwa natumia mbili ama mbili na nusu
7.namix hio hamira kwenye unga wangu wenye sukari na iriki tiyari
8.naanza kuweka maji taratibu na maziwa kikombe kidogo kimoja kinatosha
9.nakanda hadi uwe vizuri
10.naufunikia ktk sufuria safi nauacha dk 45 uumuke
11.naweka kikaangio jikoni ,waweza tumia deep frier,napenda tumia sufuria nzito
12.nautizama unga wangu utakuta ushaumuka naanza kukata vipande nasukuma kama chapati afu nakata shape ya andazi nalotaka
Waweza tumia kisu kukata shape za pembe tatu,kikombe au bilauri kutoa shape za duara ama shape special za kununua nk
Ukishakata yaache tena yaumuke kidogo
Jikoni huko uwe ushaweka mafuta muda unakata maandazi huku
Baada ya hapo anza kuweka jikoni...moto usiwe mkali sana yakaiva nje ndani hola
Ivisha upande mmoja then yageuze yaive upande wa pili
Andaa chombo cha kuwekea...yatoe jikoni uweke humo
Hadi nmemiss kuyapika
Mengine utajiongeza mbinu
Ngja nikutengenezeee☺️☺️Nipikie BA's mm mengii halaf nije kuyachukua,nitanunua lakin
Kweliii naweka order hata ya elfu hamsini,si yanaweza kukaa hata week?Ngja nikutengenezeee
Hivi PM wanafungaje mbona sijui hata kuset?.Kweliii naweka order hata ya elfu hamsini,si yanaweza kukaa hata week?
Nbm yako umefunga sasa nakupataje mamii