Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

naipenda juice ya stafeli Ina taste Kama mtindi hivi,pia Ni dawa nzuri ya kansa tujitahid tuitimie
 
zuri kwakweli mwanangu !jaribu hiyo pia !nimebahatika kupata miche yake bas kila mara naiangalia ikue tu jaman !lol
Wapi inapatikana miche yake?! Na inaweza kupatikana kwa wingi au ndo kama ilivyozoeleka manake sijawahi kuona angalau mistafeli mitano ikiwa pamoja
 
Ni hilo hilo
Jibu ni hapana,

804b04e3a04bda2b133e78e85cdf9fc0.jpg

STAFELI.

098156fac2f7770dc5245a800236be0f.jpg

TOPETOPE.

94fcb304da73e5504e505a6b6ed0e80e.jpg

FENESI.
 
Asante mkuu kwa darasa,
je ni matunda yake tu au na majani pia?
matunda yake yanashambuliwa sana na wadudu
ndo kisa cha mimi kutaka kuukata.
Kuanzia mizizi, magamba, majani hadi matunda vyote dawa.
 
Kama ukiweza kuipata hii juice ya stafeli peke yake bila vikorombwezo kila wiki glass moja haswa asubuhi baada ya glass ya maji fuatia hii juice kwa kweli mwili wako utakuwa na ulinzi mzuri dhidi ya shambulio la cancer.

Watu wengi tunakosea kwenye haya matunda na juice. Inafaa kufika mwilini wakati hakuna mazagazaga mengineyo.

Na wataalam wa chakula tiba wengi wanasahau kuweka angalizo la ni vipi juice mfano hii ya stafeli itafanya kazi yake kwa ufasaha.

Unakula chips yai kuku broiler unashushia juice ya stafeli hapo ni bila bila wandugu.

Nimependa mleta post kwa kuiweka hapa hii mada stafeli ni kiboko ya cancer. Asante sana mkuu MBITIYAZA
 
zuri kwakweli mwanangu !jaribu hiyo pia !nimebahatika kupata miche yake bas kila mara naiangalia ikue tu jaman !lol
Tunda tamu saana hili... yangu yamekuwa yakishambuliwa na sisimizi sijajua shida nini. Unaweza liona limeanza kukomaa

Ukija kulichuma unakuta limetobolewa na sisimizi.
 
Wapi inapatikana miche yake?! Na inaweza kupatikana kwa wingi au ndo kama ilivyozoeleka manake sijawahi kuona angalau mistafeli mitano ikiwa pamoja
Mi kwangu inaota yakidondoka.
ila sehemu moja mti ulipo ni mbali na nyumba
na nje ya fensi kila yakibeba watoto wanayaonea
balaa.Sikujua umuhimu wake. Miche inapatikana
hata ukinunua tunda ukaanika mbege zinaota.
 
Back
Top Bottom