Utendaji wa Papa waendelea kuduwaza wengi

Utendaji wa Papa waendelea kuduwaza wengi

AUGUSTINE MOSHI soma maandiko upate maalifa usipelekwepelekwe kama wafuasi wa kibwetele hakuna babamtakatifu duniani anaetoa utakatifu ni mngu pekeyake ukiwa mkristo fuata nyayo za kristo,siyo za papa ni mwanadamu kama mimi wewe na ombaomba matonya
Na wanaosema wameokoka, ilhali wako duniani kuliko na vishawishi 101?
 
kweli wewe ni msema ovyo neno petro kwakiebrania ni petra yaani mwanba wa jiwe na mwamba ni yesu. jiwewalilo likataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni na PETRO hakuzikwa ROMA kwani ni ushenzini nandio walio takakumuuwa yesu akiwa mdogo HERODE

"kweli wewe ni Mapolomoko"
 
.., mimi nina Amini na kuyaheshimu maandiko Matakatifu...
... Nami nakuambia: wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni...
Mathayo 16:18-19
 
... Baada ya kifo cha
Mtume Petro nafasi
yake ilichukuliwa na
Baba Mtakatifu Linus
kutoka Voltera
aliyezaliwa mwaka 67 na alifariki
septemba,23 mwaka
76 baada ya kuagiza
kuwa mwili wake
uchomwe moto
jirani na eneo la St.Peter square huyu
ndiye aliyeanzisha
nafasi ya uaskofu na
alianza na maaskofu
15 aliowateua na
alikataa katu katu wanawake kuwa
viongozi
(wachungaji). Mwaka 76
alichaguliwa Baba
Mtakatifu mwenye
asili ya kutoka nchini
Roma aliyeitwa
Cletus ambaye alifariki mwaka 88
na kuteuliwa papa
mwingine mromani
baba Mtakatifu
Clement mwaka huo
huo aliyekuja kufariki mwaka
88,papa huyu
anakumbukwa kwa
kuanzisha kuitikia
katika sala neno
“amen.” Baba Mtakatifu
mwenye asili ya
Kigiriki Evaristus
alifanikiwa kwa kiasi
kikubwa kuongeza
idadi ya waumini,alifanikiwa
kugawa miji kuwa
parokia. Baba Mtakatifu
Evaristus
alichaguliwa mwaka
97 na alidumu katika
kiti chake cha uhalifa
wa mtume Petro hadi mwaka 105
alipofariki dunia na
mwaka huo huo
alichaguliwa papa
mroma
aliyefahamika kwa jina la Baba
Mtakatifu Alexander
I ambaye alidumu
kwa miaka 15 hadi
mwaka 115
alipofariki na atakumbukwa kwa
kuanzisha huduma
ya matumizi ya maji
ya baraka na
sakramenti takatifu. Baba Mtakatifu
Sixtus I mroman
ambaye alikuja
kuchomwa moto
naye alifariki mwaka
125 na kuchaguliwa Papa mgiriki
aliyetambulika kama
Baba mtakatifu
Telesphorus ambaye
alichaguliwa mwaka
125 hadi 136. Baba Mtakatifu
Hyginus
alichaguliwa mwaka
136 aliendelea na
utume wake hadi
mwaka 140 mauti yalipomfika na
hatimaye Baba
Mtakatifu Pius I
mzaliwa wa Aquileia
alichaguliwa mwaka
huo na ndiye aliyechagua tarehe
ya Jumapili ya
kwanza ya siku kuu
ya pasaka baada ya
mwezi machi. Baada ya kufariki
Baba Mtakatifu Pius I
mwaka 155
alichaguliwa Baba
Mtakatifu Anicetus
mzaliwa wa Syria mwaka huo huo
kurithi kiti hicho
hadi mwaka 166
alipofariki na nafasi
yake kurithiwa na
Papa Soter ambaye aliitwa Baba
Mtakatifu wa
upendo aliyekuja
kufariki baadaye
mwaka 175. Alifuatiwa na Baba
Mtakatifu Eleutherius
aliyedumu hadi
mwaka 189,akafuata
Baba Mtakatifu
Victor kutoka Bara la Afrika aliyeongoza
kanisa hilo hadi
mwaka 199,huyu
ndiye papa
aliyeruhusu
kutumika kwa maji ya aina yeyote yawe
mengi ama
machache katika
ubatizo katika tukio
la aina yeyote. Kumbukumbu
zinaonesha kuwa
alikuwa ni papa
aliyepinga Maaskofu
wa Asia na Afrika
kusheherekea siku kuu ya pasaka kwa
mapokeo ya
kiyahudi na hivyo
kudumisha
utamaduni wa
kutoka Roma. Baba mtakatifu wa
15 alikuwa
Zephyrinus mzaliwa
wa roma
aliyechaguliwa
mwaka 199 na katika uongozi wake
aliagiza vijana
wenye umri wa
miaka kuanzia 14 na
kuendelea kupata
komunio ya kwanza wakati wa pasaka na
alikuja kufariki
mwaka 217. Baba Mtakatifu
Calixtus Mzaliwa wa
Roma alichaguliwa
mwaka 217 na
kufariki mwaka 222
nafasi yake ikashikwa mwaka
huo huo na Baba
Mtakatifu Urban 1,
hadi mwaka 230
alipofariki,Papa
Pontian raia wa Roma alichaguliwa
agosti,28 mwaka
230 na kufariki
sept,28,235 katika
kisiwa kidogo cha
Travolara. Baba Mtakatifu
Anterus Mzaliwa wa
Magna Grecia nchini
Uingereza alidumu
kwa mwezi mmoja
katika kiti chake baada ya
Disemba,21 mwaka
236 aliuguwa na
kufariki mwezi huo
huo ambapo
januari,10,236 alichaguliwa papa
mwingine Fabian
mzaliwa wa Roma
kuziba nafasi hiyo
ambaye alidumu
hadi januari,20,250 na alifariki akiwa
mikononi mwa
mkuu wa himaya
aliyetajwa kwa jina
la Maximus. Baba Mtakatifu
Anterus alikuwa ni
papa wa 19 tangu
kwa Mtume Petro na
hivyo wiki ijayo
usikose kumfahamu papa aliyemrithi
papa Anterus huku
ukiendelea
kufahamu
yanayoendelea kujiri
katika vikao vinavyoendelea
mjini Vatcan. Makala haya ni kwa
msaada wa idhaa ya
Kiswahili ya radio
Vatican...
 
... Basilika la Mt. Petro mjini Roma ni kanisa kubwa
kuliko yote
duniani na
linatumiwa sana
na Papa, ingawa si Kanisa kuu la jimbo lake. Basilika hilo liko ndani ya eneo la Vatikani ambalo ni dola au nchi
huru ndogo
iliyoko ndani ya
mji wa Roma
(Italia). Historia Kanisa hili
lilianzishwa
mnamo mwaka
324 na Kaisari Konstantino Mkuu aliyeagizwa
ujenzi mahali
ambapo watu
waliamini Mtume Petro aliuawa akazikwa. Kanisa hilo la kale
lilionekana bovu
wakati wa karne ya 16, hivyo Papa Julius II aliamuru kujenga kanisa
jipya. Muda wa ujenzi
ulikuwa miaka
120: ulianza
mwaka 1506
ukakamilishwa
mwaka 1626. Wasanii
mashuhuri
walishiriki katika
ujenzi na
upambaji wa
kanisa hili kama vile Raphael, Michelangelo na Gian Lorenzo
Bernini. Ujenzi wake
uligharamia pesa
nyingi.
Wataalamu
wengi huona ya
kwamba ujenzi huu ulikuwa
sababu moja ya Matengenezo ya
Kiprotestanti yaani farakano na Kanisa Katoliki katika karne ya
16. Ni kwamba
Mapapa
walianzisha kodi
mpya kwa
waumini ili
waweze kuendeleza
ujenzi. Madai ya
pesa kwa ajili ya
ujenzi huo
yaliendeshwa
kwa ukali uliosababisha
upinzani wa Martin Luther na wengine hasa
huko Ujerumani. ↑Rudi Sehemu A Vipimo Kanisa hili
lililojengwa juu
ya eneo la mita za
mraba 15,160
linaweza kupokea
umati wa watu 60.000. Lina urefu wa
mita 211.5 na
kimo cha mita
132.5. Ukumbi wake una
urefu wa 187 na
upana wa 27.50
m. Ukumbi wa
pili una urefu wa
mita 138. Jengo lina kuba moja kubwa na
makuba manane
ya kando. Ndani ya kanisa
kuna altare 45, nguzo 800,
sanamu kubwa
390 za watu wa Biblia, Watakatifu na Mapapa.
 
... By Nick Pisa Bone fragments found
in a Rome basilica are
said to belong to St
Paul, Pope Benedict XVI
has said. The analysis was carried
out after a tiny probe
was pushed through
into the tomb beneath
the Basilica of St Paul
Outside the Walls, which is said to have
been built on the site
where he was buried. Vatican archaeologists
uncovered the tomb in
2006 in a crypt under
the basilica and said the
fact that it was
positioned exactly underneath the
epigraph "Paulo
Apostolo
Mart" (meaning "Paul
the Apostle and
Martyr") at the base of the main altar was
conclusive proof that it
was his final resting
place. The tomb also has a
hole in the top through
which which pieces of
cloth could be pushed,
touching the relic and
becoming holy in their turn. There has been a shrine
on the site since the 3rd
Century after the
Emperor Constantine
consecrated a basilica at
the spot where, according to Christian
tradition, Paul's body
was buried in a
vineyard by a Roman
woman. Pope Benedict said:
"The sarcophagus under
the altar dedicated to St
Paul has recently been
the object of detailed
scientific analysis. "It had not been opened
in centuries and a tiny
hole was made in it,
through which a special
probe was passed
which found traces of a precious purple lined,
decorated with gold
sequins and a blue
fabric with linen. "Within the
sarcophagus were also
tiny bony fragments
and these were put
through carbon 14
testing by experts who did not know where
they were from and
they revealed that they
were from a person
who lived during the
1st or 2nd Century AD. "This seems to confirm
the unanimous and
uncontested tradition
that they are the mortal
remains of the Apostle
Paul. All this fills our souls with deep
emotion." Monday is the feast of St
Peter and Paul, who are
the patron saints of
Rome and a bank
holiday in the city, and
the news was expected to attract increased
visitors to the basilica. It was the second
announcement from the
Vatican regarding St
Paul in as many days -
earlier it was revealed
that the oldest known icon of the saint had
been found in a nearby
catacomb. Experts said the icon -
which showed the
traditional image of St
Paul, with large eyes,
sunken features and a
long beard - was from the 4th Century AD. St Paul was a Roman
Jew, born in Tarsus in
modern-day Turkey,
who started out
persecuting Christians
but later became one of the greatest influences
in the Church. He did not know Jesus
in life but converted to
Christianity after seeing
a shining light on the
road to Damascus and
spent much of his life travelling and
preaching. St Paul wrote 14 letters
to Churches which he
founded or visited. His
epistles tell Christians
what they should
believe and how they should live but do not
say much about Jesus'
life and teachings. He was executed for his
beliefs around AD 65
and is thought to have
been beheaded, rather
than crucified, because
he was a Roman citizen.
 
Kama ni Mkristo na hasa kama ni Mkatoliki swali hilo lisingekusumbua, bila shaka wewe ni Protestant au utakuwa ni Asalam Alekhum. Yesu Kristo aliteua Mitume Kumi na Mbili, katika mitume hao alikuwemo Simon ambaye Yesu alimbatiza jina Jipya akamwita Petro akimaanisha Mwamba na kumteua kuongoza Kanisa pale aliposema. Simon wa Yona wewe ni Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu.........." Petro aliongoza Kanisa na alipofariki alizikwa pale Vatican. Baada ya Pope Petro alifuatiwa na Pope Saint Linus aliyefariki mwaka 76, na alifuatiwa na Saint Anacletus. Mtindo wa kumrithi Kiongozi wa Kanisa Katoliki umekuwepo tangu hapo. Utakatifu wa Pope haumaanishi kuwa yeye ni Mtakatifu la hasha bali Kiti anachokikalia ni Kitakatifu, ni Kitakatifu kwa sababu Yesu Kristo wa Nazareti alimteua Petro Mtume wake kukalia kiti hicho cha kuongoza Kanisa.

TUMSIFU YESU KRISTO WA NAZARETI

Milele Amina
 
.., mimi nina Amini na kuyaheshimu maandiko Matakatifu...
... Nami nakuambia: wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni...
Mathayo 16:18-19

Halafu Petro bwana sio mchezo,
Kuna ile aya aliyopewa atupe/atuonyeshe sisi ikionyesha kuwa Noa ni halali,unaweza kunipa ili nimsomee jirani yangu hapa. Nataka nimwambie Petro alifungua kuliwa noa hapa duniani na huko juu ni halali pia.
 
papa= ant crist kama unabisha angalia nyuma ya kiti chake msalaba ulivyowekwa

Naona unacheua yale uliyoshibishwa na yule nabii mwanamke, mtumwa mwaminifu wa Lucifer! Si kosa lako.
Ukweli ni kwamba kama ulipata kuiona picha ya msalaba uliowekwa kichwa chini miguu juu ni kidokezo cha Baba Mtakatifu wa kwanza aliyeuwawa na kuzikwa pale yalipo Makao Makuu ya kanisa sasa. Maadui wa Kanisa wameitumia sana alama hiyo kwa propaganda chafu na potofu, lakini waliofika kule wanaelewa maana ya msalaba ule unaodokeza kifo cha Petro - Baba Mtakatifu wa kwanza ambaye alipokabiliwa na watesi wake waliotaka kumtesa na kumuua sawa na walivyomfanyia Yesu aliwasihi wasimfananishe na Yesu kwani yule alikuwa Bwana bali alipendekeza wamtese kichwa kikiwa chini na miguu juu. Walikubali na ndivyo alivyouwawa. Mengine yote ni porojo za vilaza na vibwetere kama wewe.
 
Tatizo makanisa yenu madogo hayaelewwki utawala wake wa kiimla liacheni kanisa mama la wootee
 
Kama ni Mkristo na hasa kama ni Mkatoliki swali hilo lisingekusumbua, bila shaka wewe ni Protestant au utakuwa ni Asalam Alekhum. Yesu Kristo aliteua Mitume Kumi na Mbili, katika mitume hao alikuwemo Simon ambaye Yesu alimbatiza jina Jipya akamwita Petro akimaanisha Mwamba na kumteua kuongoza Kanisa pale aliposema. Simon wa Yona wewe ni Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu.........." Petro aliongoza Kanisa na alipofariki alizikwa pale Vatican. Baada ya Pope Petro alifuatiwa na Pope Saint Linus aliyefariki mwaka 76, na alifuatiwa na Saint Anacletus. Mtindo wa kumrithi Kiongozi wa Kanisa Katoliki umekuwepo tangu hapo. Utakatifu wa Pope haumaanishi kuwa yeye ni Mtakatifu la hasha bali Kiti anachokikalia ni Kitakatifu, ni Kitakatifu kwa sababu Yesu Kristo wa Nazareti alimteua Petro Mtume wake kukalia kiti hicho cha kuongoza Kanisa.

TUMSIFU YESU KRISTO WA NAZARETI

the best thing about the bible is that you can make it say whatever you want to comfort your mind.
 
Halafu Petro bwana sio mchezo,
Kuna ile aya aliyopewa atupe/atuonyeshe sisi ikionyesha kuwa Noa ni halali,unaweza kunipa ili nimsomee jirani yangu hapa. Nataka nimwambie Petro alifungua kuliwa noa hapa duniani na huko juu ni halali pia.

... ... Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa, kutazama mtatazama, lakini hamtaona

Mathayo 13:14b
 
Form 4 au 6 failure ndio wanaendaga kusoma hizi kozi za uhandishi wa habari na utangazaji, kama ilivyo kwa wale wa ualimu. Kwa hiyo, mimi sishangai heading kuwa tofauti na content....

Wewe uliyepasi form 6 ,bado nafasi unayo ya kusoma hiyo course , kasome uje utuandikie vizuri ,usilalamike unaitupa nafasi
 
the best thing about the bible is that you can make it say whatever you want to comfort your mind.

82% of the words of Jesus are not his:

"The Five Gospels," is a 550 page book containing translations of the Gospels of Matthew, Mark, Luke, and John. It was the result of a six year study by 24 Christian scholars from a number of Western universities.

They decided to produce a translation of the Gospels which would be uncolored by the translator's personal faith. It was decided that this translation was to give the reader an honest picture of what Jesus truly said. They scanned the text for the words of Jesus, and collect an index of over 1,500 such sayings. They then tested the validity of each of these sayings, one at a time, to see whether Jesus truly said each one.

They then produced a fresh translation, color-coded to show authentic Jesuit sayings and those of an unreliable nature. Their conclusion (page 5) was:

"Eighty-two percent of the words ascribed to Jesus in the gospels were not actually spoken by him."
They go on to reveal that:
"biblical scholars and theologians alike have learned to distinguish the Jesus of history from the Christ of faith. It has been a painful lesson for both the church and scholarship.

The distinction between the two figures is the difference between a historical person who lived in a particular time and place...and a figure who has been assigned a mythical role, in which he descends from heaven to rescue humankind and, of course, eventually returns there."

Well then, if 82% of the "words of Jesus" found in the Bible were apparently never spoken by him then where did they come from? Some of the sources demonstrated by the authors are:
"The concept of plagiarism was unknown in the ancient world. Authors freely copied from predecessors without acknowledgment. Sages became the repository of free-floating proverbs and witticisms. For the first Christians, Jesus was a legendary sage: it was proper to attribute the world's wisdom to him. The proverb in Mark 2:17, for example, is attested in secular sources (Plutarch and Diogenes for example)...in the parallel to the Markan passage, Matthew adds a sentence taken from the prophet Hosea (Matt 9:13)."

Also:

"Hard sayings are frequently softened in the process of transmission to adapt them to the conditions of daily living...Variations in difficult saying often betray the struggle of the early Christian community to interpret or adapt sayings to its own situations... Matthew's version of the aphorism "The last will be first and the first last"(Matt 20:16) is softened in Mark 10:31 to "MANY of the first will be last, and of the last MANY will be first"."

And probably most revealing:

"Christian conviction eventually overwhelms Jesus: he is made to confess what Christians had come to believe...The contrast between Christian language or viewpoint and the language or viewpoint of Jesus is a very important clue to the real voice of Jesus, the language of Jesus was distinctive, as was his style and perspective."

The above is only a very small sampling of the very large cache of evidence clearly showing the Bible to have been seriously distorted and altered. To this day it is being continuously edited, corrected, and modified. This is not to say that Christians are not good and honest people in search of the truth.

Quite the opposite. Among them are some of the most decent and moral people on this earth. The goal of this book is only to show that the Christian faith as it stands today is not the same one preached by Jesus peace be upon him to his followers nineteen hundred years ago. This is exactly what the Qur'an has been asserting for over fourteen hundred years now.

"O People of the Book! Why do you reject the Signs of God, when you [yourselves] bear witness [to their truth] ?. O People of the Book! Why do you clothe Truth with falsehood, and conceal the Truth, while you have knowledge? (The Noble Quran, 3:70-71)"

"Say: 'O People of the Book (Jews and Christians)! Why do you reject the Signs of God, when God is Himself witness to all you do?' Say: 'O People of the Book! Why do you obstruct those who believe from the path of God, Seeking to make it crooked, while you were yourselves witnesses? But God is not unaware of what you do'
(The Noble Quran, 3:98-99)"

"Truly, the Religion in the Sight of God is Islam (literally: "the submission"). Nor did those who were given the scripture dissent therefrom except after knowledge had come to them, through envy of each other. But whosoever disbelieves in the Signs of God, [then surely,] God is swift in calling to account.
(The Noble Quran, 3:19)"

"They are not all alike. Of the People of the Scripture there is a party who stand [for that which is right], they recite the revelations of Allah throughout the night, falling prostrate [before Him].
(The Noble Quran, 3:113)"

"And there are, certainly, among the People of the Book, those who believe in God, and in that which was sent down unto you, and in that which was sent down unto them, humbling themselves before God: They will not sell the Signs of God for a miserable gain! For them is a reward with their Lord, and God is swift to take account.
(The Noble Quran, 3:199)"

"O people of the Book! Now has come unto you Our messenger, revealing to you much of what you used to hide in the Book, and passing over much. Indeed, there has come to you from God a light and a plain Scripture
(The Noble Quran, 5:15)"
 
Who compiled the quran? who edited the quran? who authorized the compilation of the quran? how can the quran pass the authentic test while it was compiled many years after the death of the all-round illiterate prophet Muhammad the author the off-head quranic version ? if you can find answers to the above questions then you can point fingers to the bible
 
AUGUSTINE MOSHI soma maandiko upate maalifa usipelekwepelekwe kama wafuasi wa kibwetele hakuna babamtakatifu duniani anaetoa utakatifu ni mngu pekeyake ukiwa mkristo fuata nyayo za kristo,siyo za papa ni mwanadamu kama mimi wewe na ombaomba matonya

2naosoma vizuri biblia hawa wanaojiita watakatifu hawa2shangaz kbisa
 
mbona mnapinga sana na nyie wote ni wadhambi na chuki yenu inadhihirika kwa maneno yeno
mmejawa chuki na upinzani...imani ndio itakayowaponya..sisi wakristo huishi kwa imani na imani hutuweka salama acheni tuendelee kuishi kwa imani na amani enyi pepo na watumishi wa pepo wachafu...nawakemea kwa jina la Yesu
 
Back
Top Bottom