Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,445
- 1,890
Habari wakuu,
Tuna kila sababu sisi watanzania kumshukuru Mungu na kutoa fungu la Kumi kwa Kutupatia Rais Magufuli,
Mataifa mengi yanatamani sana kuwa na kiongozi anayefanya ambayo magufuli anafanya lakin wameshindwa,
Kwa haraka haraka ranking ya utendaji Afrika inamuweka Rais Magufuli nafasi ya kwanza,
Na kwa africa mashariki anayefuata ni Kagame ambaye kwa Africa ameshika nafasi ya 4,
Mnangagwa kashika nafasi ya 5 , wakati Uhuru Kenyata akiwa nafasi ya 17
https://www.africaranks.com/forums/presidents.6/

ngumu kumeza