Utendaji kazi wa Mawaziri wetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utendaji kazi wa Mawaziri wetu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlachake, Jun 21, 2011.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wapi yule mama alikua anavunja manyumba na matingatinga usiku- Aligusa pasipo penyewe?

  Wapi ile spidi ya magufuli, Nakumbuka karibu kila wiki tulikua tunapata tamko kutoka kwake kuhusu mipango yake, What really happened?

  Jamani watanzania tuichkue hii nchi kutoka mokono ya CCM, La sivyo hatutaenda popote!!

  Waziri yeyote aamue leo kufanya kazi yake kwa uadilifu lazima atakutana na kizingiti cha kulinda maslahi ya vigogo!! Why jamani. hivi watanzania hamlioni hili?

  Hata kama kuna Progress katika maendeleo kama wenyewe wanavyodai, SiDhani kama we are growing at the required rate. Am sure if it were not for theses hassles, Tungekua Mbali sana leo.

  Ninaamini kabisa tuna baadhi ya mawaziri ni watendaji wazuri lakini hawewezi kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kuogopa kugusa maslahi ya kigogo fulani,

  Sio kwamba kuna Dr. Slaa na wenzake ni Miungu katika utendaji, hawa tunawaona ni Ma supper star Because they are free from the above hassles. Vyombo vingi vya habari navyo ni yale yale. kwanini Mwananchi na Tanzania Daima wanauza kuliko magazeti mengine, Please Dont ask me on Data, kama unataka Data nenda kwenye meza za magazeti saa kumi jioni. Haya magazeti wote mnajua yanavyoandika habari zao.

  Yaani from A-Z. hawa mafisadi sio tu wanatukwamisha kimaendeleo kwa walichokichukua tayari, Bali hata Kwa kukwamisha stahiki yetu ya maendeleo ya Nchi.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ile kusiwe na vizingiti wapewe nchi.
   
Loading...