Utekelezaji wa Tanzania development Plan 2011-2016 kwa vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utekelezaji wa Tanzania development Plan 2011-2016 kwa vitendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanyagio, Jun 13, 2011.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ndugu wanajamvi, awali ya yote nawashauri kila mtu ajitahidi kusoma nini kilichomo katika THE TANZANIA FIVE YEAR DEVELOPMENT PLAN 2011/12-2015/16".

  Ninaona kwamba kuna discrepancy kadhaa kati ya mpango huu na matarajio ya wananchi. kwa nini nasema hivyo. nitatoa mifano michache:
  1. wananchi wanategemea serikali itareview mikataba ya madini ili kuongeza asilimia inayokwenda serikalini kama kodi.. lakini mpango huu upo kimya kabisa katika suala la kodi
  2. wananchi wana matarajio ya uboreshaji UBORA wa elimu. lakini Mpango unatoa kipaumbele katika kuongeza idadi.. sijaona ambapo wanajikita katika ubora wa elimu
  3. Mpango huu unabainisha kwamba Sitting and travelling allowances currently create a perverse incentive's structure, and will need to be rationalized or removed. lakini majibu aliyotoa Mkullo yanaonyesha kwamba hakuna uondoaji wa posho.
  Sasa naona tunakuwa katika njia panda!!
   
Loading...