Utekelezaji wa mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga-Tanzania (EACOP) kwa ujumla umefikia 55%

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Utekelezaji wa mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga-Tanzania (EACOP) kwa ujumla umefikia asilimia 55 na umeweza kuajiri jumla ya Watanzania 6,763.

Kampuni ya EACOP imeajiri Watanzania 254, Wakandarasi wa mradi wameajiri Watanzania 6,050 na watoa huduma katika Mradi wameajiri Watanzania 459.

Huo ni utekekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2024/25 kwa Wizara ya Nishati eneo la ujenzi wa bomba la mafuta la EACOP

Kwahiyo unataka kusema mkuu kwamba mama hatumdai au mimi ndo nahisia tu.
 
Back
Top Bottom