Fahami Matsawili
Senior Member
- Mar 8, 2018
- 172
- 153
.
Ndiyo maana huwa unaitetea CCM, nilikuwa sijui! Naona unauza propaganda! Kuna nini Kagear we mtu. Rubale kuna nini? Nyakibimbili kuna nini? Au madamu tumbo lako linapata masalia, basi !
Multiple IDNdugu Fahami..
Nakupongeza sana namna ulivyojikita kwenye hoja na hakika hii style yako ndio itakua muongozo wetu sote nchi nzima kuweza kuisaidia jamii zetu waelewe kuirahisi na kiufasaha dira ya Mh.JPM..
Nahakika uchumi wa kati tutafika tujitume sisi kama vijana wa UVCCM nchi mzima
Analeta ujanja wa kishamba!Multiple ID
Hela ya tetemeko iliyoliwa imerudishwa ?
Shukrani sana comrade Umenena vyema Sana.... Uvccm tukafanye kaziNdugu Fahami..
Nakupongeza sana namna ulivyojikita kwenye hoja na hakika hii style yako ndio itakua muongozo wetu sote nchi nzima kuweza kuisaidia jamii zetu waelewe kuirahisi na kiufasaha dira ya Mh.JPM..
Nahakika uchumi wa kati tutafika tujitume sisi kama vijana wa UVCCM nchi mzima
Maelezo meeeengi, dakika ya mwisho jeshi la polisi na tume ya uchaguzi ndio inakuwa mbeleko ya kukilinda chama.
Hapa kazi tu
Umenena vyema komred Fahami,hatuna njia nyingine ili tufike huko lazima tuunge mkono juhudi za dhati za Rais wetu na hasa vijana ambao mazingira yatakuwa wezeshi kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi,sisi wa bukoba tunajua umuhuimu wa meli kwa mama zetu ambao ndo wasafirishaji wakubwa was ndizi mbichi na mbivu(njoge) ujio was meli na ujenzi wa SGR hadi Mwanza ni ukombozi kwa akina mama na vijana
You must be crazy! Rubbish! Angalia umasikini kwenu Rubale/Nyakibimbili leo unaimba hapa kazi tu! Hali za uchumi za ndugu zako zikoje? Kazi tu iko wapi?Hapa kazi tu
Fahami ebufanya fursa kwenu . ile nyakibimbili yote na viunga vyake vyote vina umasikini wakutupwa. Iwee fahamii ikimba itakaaro osige akandi. Ila nimekubali maono yako na kingine waambie nduzetu wahaya waache uvivu (ubunafuu)Huyu nae si akae kimya tu... Owanyu omukyalo obunaku bungi munno alafu unakuja kupiga porojo apa na kuuza sura.
Kumbe mpuuzi tuMultiple ID