Utekaji Ndege ya Misri:Abiria apiga selfie na Mtekaji

Namshukuru Mungu nimeziona hapo viwanja vilikuwa vidogo, ilikuwa boing 737 ikiingia Dodoma barabara inafungwa inapita barabarani hakuna magari kupita, wajanja wameua shirika na mtaji wamekula wabaaaya
Mkuu mimi kuziona ni kwenye utoto hata akili sina na lile Tangazo la ATC kama sikosei la Kilimanjarooo,Kilimanjaroo ,sijakuelewa mkuu umesema Boeing 737 inapita barabarani ?
 
Dodoma, Uwanja upo karibu na Barabara ya Lami, round about ya Airpot........Sasa ikiwa inashuka,kama ni kubwa inabidi tu magari yasimame hamna namna.
 
Uwanja ulikuwa Mdogo sana sasa ikitaka kuondoka inabidi iingie barabarani halafu inarudi tena kiwanjani na kuondoka hivyo geti linafungwa kuzuia gari zisipite kwa waliofika Dodoma kiwanja kipo karibu kabisa na barabara wanajua naongea nini. sasa uwanja umeongezwa ndege hakuna ukiiona kubwa ya Rais.
 
Duh nashukuru Mkuu hivyo barabara ilikua inatumika kama Runway na wakati wa usiku ilikuaje ??
 
Uwanja ulikuwa Mdogo sana sasa ikitaka kuondoka inabidi iingie barabarani halafu inarudi tena kiwanjani na kuondoka hivyo geti linafungwa kuzuia gari zisipite kwa waliofika Dodoma kiwanja kipo karibu kabisa na barabara wanajua naongea nini. sasa uwanja umeongezwa ndege hakuna ukiiona kubwa ya Rais.
Asante sana mkuu hapo juu kabisa ulisema Membe/ Maembe kama hutojali unaweza kunifafanulia ?

Inasikitisha kufa kwa ATC kama Wazee wetu walirisk hadi kumiliki Boeing nakuzitumia kwenye barabara
 
Hao jamaa wawili kama sikosei jina la ukoo ni Membe au Memba ( surname) sikumbuki vizuri mkuu hata hivyo sikuwa mkubwa kivile
 
Nashukuru mkuu kwa muda wako na darasa pia ulilonipa ,nitafuatilia zaidi
 
Tulikuwa na vitu vya maana sana mkuu we acha tu wameua viwanda kila kitu wakajiongezea na muda wa kustaafu inauma sana huwezi kuamini hadi std seven anapata kazi, leo wa digrii kama ni msichana anafunga Karanga anauza usiniulize mvulana anafanya nini,
 
Kuna mijitu humu mishamba kweli kweli eti haijui selfie ni nini....ndio tabu yakuishi mbugani, olepandika gete..nalepita nkoi
 
Back
Top Bottom