M Makunga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 771 Reaction score 551 Jan 1, 2013 #21 Mzee wa Rula said: Zafanana sijui basi hili bado lipo Tanga???? Click to expand... sio Tanga tu,ht huku pande za kanda ya ziwa yalikuwepo ila siku hz siyaoni.
Mzee wa Rula said: Zafanana sijui basi hili bado lipo Tanga???? Click to expand... sio Tanga tu,ht huku pande za kanda ya ziwa yalikuwepo ila siku hz siyaoni.
Daudi Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 327 Reaction score 204 Jan 1, 2013 #22 wacha maneno yako hakuna mfanano. moja moto moja baridi, moja ndogo moja kubwa, moja fupi moja refu. kwa mfano ya naniii asikuambie mtu.
wacha maneno yako hakuna mfanano. moja moto moja baridi, moja ndogo moja kubwa, moja fupi moja refu. kwa mfano ya naniii asikuambie mtu.
T Thando Member Joined Jan 1, 2013 Posts 63 Reaction score 31 Jan 1, 2013 #23 ehe..kumbe madhehebu yote hayo mwayajua? lakini nyama si nyama wakwetu? mshana jr said: nyama ileile lakini mapishi tofauti kuna mtura, supu, ya kuchoma, ya kukaanga, mshkaki, foil, nk nk Click to expand...
ehe..kumbe madhehebu yote hayo mwayajua? lakini nyama si nyama wakwetu? mshana jr said: nyama ileile lakini mapishi tofauti kuna mtura, supu, ya kuchoma, ya kukaanga, mshkaki, foil, nk nk Click to expand...