Watanzania wana uhuru wa kuchaguahabari, mnaruhusiwa kucheka
kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)?
hii haikubaliki π
Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube.
haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge la jamhuri kwa views.
nawasilisha, asante. π«΅πΌ π€£
Kiukweli Lissu ana mvuto wa ajabu sanaLissu ni msomi anaejitambua ndio maana ana watazamaji wengi. Africa ili tuendelee inatakiwa "akili kubwa kuongoza akili ndogo" tunachofanya ni kinyume chake kutokana na rushwa.
SahihiWatanzania wana uhuru wa kuchagua
Tupe idadi ya Viwers wa Bunge vi's Lisu ili tupime!habari, mnaruhusiwa kucheka
kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)?
hii haikubaliki π
Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube.
haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge la jamhuri kwa views.
nawasilisha, asante. π«΅πΌ π€£
Wamechagua jambo Bora dhidi ya mambo ya kibwege!Watanzania wana uhuru wa kuchagua
Unao mzani wa kupimia? Ndiyo ukoje?Tupe idadi ya Viwers wa Bunge vi's Lisu ili tupime!
Ila sijui GWAJIMA aliwaza Nini π PONJOROO WA KINONDONII π€£π€£π€£Tukawaangalie wawakilishi wa makenge, wakina ponjoro wa kinondoni aisee hapana.
YeeeTupe idadi ya Viwers wa Bunge vi's Lisu ili tupime!
ππUnao mzani wa kupimia? Ndiyo ukoje?
Hao 92 ndio waliompa tuzo mama yao juzi.Aisee
Au ni IT people wako IT room wanarushaHao 92 ndio waliompa tuzo mama yao juzi.