snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,711
- 23,662
sio utuhadithie tu na picha upost kabisa hapa!tena sio za mnato ziwe zenye mwendo!ukikitizama kitu in a negative way kinakuwa kubaya,and vice versa is true. we chukulia kupiga puri ni jambo positive,mwache jamaa asonge mbele.....its safe...haina kuambukizwa virus!wakati wake ukifika ataacha....mimi nilikuwa bingwa wa afrika mashariki wa mambo hayo na nishaacha!teh teh teh!nilichukua ubingwa ktk mashindano yalifanyika kenya,mnataka niwahadithie jinsi nilivyobeba taji?