Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Ndoa ya watu we inakuhusu nini? yako mwenyewe yanakushinda ukasuluhishe ya wenzio...toa libanzi lako la jicho ndo ukamtoe mwenzio...umbea tu!!!
nitawafungia chumbani siku tatu na kupitisha chakula kwenye kitundu kidogo..i'm sure wata do tu, na hapo watakuwa wameshapatana.
nitawaambia wasikilize ule wimbo wao wa ndoa
hmm mwenzangu leo akili ya usiku imezidi macho kha!!! unatema moto hatarinitawafungia chumbani siku tatu na kupitisha chakula kwenye kitundu kidogo..i'm sure wata do tu, na hapo watakuwa wameshapatana.
Hebu soma user name yako kwanza labda umesahau unaitwa naniTunao wengi tu katika jamii, lete ushauri watu waelimike bana.
Wamekwambia wanataka kusuluhishwa?
haya kalale uniote
Wana MMU kama tulivyosikia na kusoma; ndoa ya Flora na Emma imetikiswa sana. Na kama jambo hili likibainika kweli katika jicho la kisheria basi ni dhahiri ndoa hii itasinyaa sana. Mimi nashauri jambo hili lipate suluhu ya kifamilia zaidi hasa ukizangatia kwamba wawili hawa wamelalamikiana na kutengana kwa muda (kila mtu na lake) na bado haikuwasaidia sana. Hebu fikiria umeitwa katika kuwapatanisha hawa wanandoa ni nini ushauri wako.
Mods; naomba hii safu isiunganishwe na safu nyingine ili ushauri utakaotolewa hapa iwe ni rahisi kuupata. Nawasilisha.
wewe ndiyo Emma au Flora Mbasha?
haya kalale uniote
Hapana