Utawala wake hautatulia abadani

Mshafikia wakati wa kujifanya remote juu ya bi mkubwa miruzi yenu isije wapoteza wenyewe . Hao anaowapanga na kupangua ni watumishi wa umma hivyo ni wajibu wake kujua anaishi na nani na kwa mfumo upi si kujiendea tu kama gari bovu. Ujaona watangulizi wake wakichagua mifanano yao? KILA JAMBO NA ZAMA ZAKE.
 
Watajuana wenyewe. Mwisho wa siku maamuzi yao hayaleteni ahueni yeyote kwa raia wa chini kabisa.

Wakimalizana wenyewe kwa wenyewe labda maisha ya raia wa kawaida yatakuwa na afadhali so let the dead bury each other.
Umenena
 
Duh wewe jamaa unaumia Toka Kijiji gani,hakuna sehemu ambayo kuna watawala na watawaliwa kukawa shwari,lazima kuwe na makundi matatu,wanaokukubali,wanaokupinga na wasio na uelekeo,hat hayati JPM Hali hii ilikuwepo Tena kwa kiasi kikubwa sana.

Kwahiyo hakuna jipya kwa ulichokiandika,maana hata shuleni kwangu tupo makundi matatu,yanayomkubali mkuu was shule,yanayompinga na wale bendera fuata upepo,Sasa kama ka taasisi kadogo kenye watu almost 400 kanakuwa na makundi
,Ni vipi taasisi ya urais ikose kitu kama hicho? Kwani maamuzi ya rais humiza na kufurahisha .
 
Kweli !!
 
Inadaiwa hii ni akaunti ya Kalemani aliyekuwa Waziri wa Nishati kabla ya Januari Makamba. Tulieni SAMIA afanye kazi, nchi Iko mikono salama
 
Inadaiwa hii ni akaunti ya Kalemani aliyekuwa Waziri wa Nishati kabla ya Januari Makamba. Tulieni SAMIA afanye kazi, nchi Iko mikono salama
Ewaaaaah !! Hapo ndipo panaposubiriwa kwa hamu !!
 

[emoji848][emoji848]
 
Japo CCM Ile ILe na mambo yake ya ovyo

Ila Samia ana nafuu maradufu kuliko mZiLaNkeNdE Muyago. A.k.a Jiwe.

Akihakikisha katiba Mpya inapatoka atakuwa the Best president ever to sit kama ambavyo abrahamu Lincoln anakumbukwa na wamarekani .
 
Japo CCM Ile ILe na mambo yake ya ovyo

Ila Samia ana nafuu maradufu kuliko mZiLaNkeNdE Muyago. A.k.a Jiwe.

Akihakikisha katiba Mpya inapatoka atakuwa the Best president ever to sit kama ambavyo abrahamu Lincoln anakumbukwa na wamarekani .
Hata JK tulimshauri hivi hivi kwamba kama anataka aache kitu cha kukumbukwa kizazi na kizazi ahakikishe Katiba mpya inapatikana ! Lakini kilichotokea ni Abracadabra !! Katiba mpya Ziiii ! Tusubiri tuone na ya sasa !
 
Unabwabwaja tu mataga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakika, ila ni kawaida ya binadamu wengi wenye akili ndogo kuogopa mabadiliko.
Msiogope mabadiliko Kwani ni jambo la kawaida na studies zinaonesha hupelekea better improvement in performance.
 
Hakuna kundi lenye nchi zaidi ya rais.na hakutatokea ndani ya CCM mtu mwenye nguvu,pesa na ushawishi Kama Edward ngoyai Lowasa nn kilitokea ndio ujue hizo kura unazosema zilipigwa kwa wingi waliamua kuziacha Kama zilivyo kwani mwenyekiti angeamua kubadilisha alikuwa anashindwa fikiria Mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…