Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,258
US hajakimbia Muziki, kwa sababu wala hakupanga kushinda hiyo vita, ilikuwa ni biashara tu ya makampuni ya silaha kutafuta fedha za wamarekani. Ni siasa tu za Marekani ndio zimeamua hiyo vita iishe, na watu baada ya kuona washapiga hela za kutosha wakaridhia.al nuur ndo kitu gani icho mkuu.alafu kwanini amtaki ukweli kuwa US wamekimbia mziki?
Sababu, hata hiyo Taliban, infact baada ya US kuivamia 2002, by 2008 walikuwa wamepotea kabisa hao Taliban. Lakini sababu Makampuni kama Blackwater yalihitaji vita iendelee, ndio covertly wakatengeneza mazingira ya hii Taliban kuibuka tena. Infact Afghan ilikuwa ni Biashara tu.