T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,298
- 44,767
Rocket Peppered Grenade (RPG)Naona unacheza na RPG, Return propeller gun,we ita machuma chuma
Rocket Peppered Grenade (RPG)Naona unacheza na RPG, Return propeller gun,we ita machuma chuma
Russia huwa wanatengeneza silaha za kudumu kwenye mazingira magumu. Ambazo hata usipofanyia service au maintenance sana bado zijafanya kazi. Zinafanya kazi kwenye mazingira magumu kama joto kali, baridi na zinadumu. Pia ni rahisi kurekebishikahivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
za kisasa zaidi kama zipi?hivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Labda bunduki ndogo hazitakiwi inatakiwa machine guns tusasa huyo jamaa hapo wanamkagua nn? Kama ana siraha nyingine mfukoni ama?
al nuur ndo kitu gani icho mkuu.alafu kwanini amtaki ukweli kuwa US wamekimbia mziki?Kwan wamewakimbiza wamarekani!?? Umeshalisoma al nuur nn!??
Jamaa walikuwa serious sana !!
Kuuza mafuta ya bunduki mkuu.Dah kuna fursa gani huko Afghanistan??
Watch your mouth binti.Miongoni mwa race za kijinga duniani ni waarabu. Huwa nawafananisha na mbwa. Ukiwachukua mbwa 10 halafu ukawarushia pande la nyama wanaanza kugombana badala wale pamoja atataka mmoja au wawili ndiyo wale. Ndiyo walivyo Waarabu
Mbona vita ni kwa nchi za Warabu tu tena kwa waslamu? Cha kushangaza wanawasingizia Wamarekani.
Ukitaka kuipiga nchi yoyote ya kiarabu, chukua waarabu 200 wape hela, silaha kali na wape ahadi tamu tamu maana hawana akili. Ndicho kilichotokea LIBYA
Walivyo wajinga waarabu wanafikiri Wamerekani wameogopa vita. Nchi kama Marekani zipo kwenye masilahi zaidi ya kiuchumi.
Sasa hivi hakuna vita vya kifahari. VITA NI BIASHARA
Wewe una miliki Silaha gani?hivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Duh huo mkanda mmhhh!Habari za muda huu…
Naomba kupitia uzi huu tushirikiane ku comment picha za matukio (kuchekesha/kufurahisha na kusikitisha) za wanamgambo wa Taliban baada ya kutawala Afghanistan.
View attachment 1896250
View attachment 1896251
View attachment 1896252
View attachment 1896253
View attachment 1896254
View attachment 1896255
View attachment 1896256
Mashine inakula kiyoyozi
Naona hauko vizuri ukapimweSasa AFGHANISTAN ni waarabu ? Ndugu yangu au akili zimepotoka na PALETINA ndio nini?