fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,915
Mungu awsaidieKazi wanayo huko Afhaganstan
Mungu awsaidieKazi wanayo huko Afhaganstan
Marekani ndiyo iko behind the scene. Ilikuwa imewafundisha na kuwafadhili na kuwalipa wanajeshi na raia kibao kwa miaka almost 20 walizokaa Afghanistan, wakijua baada ya kuwatoa wanajeshi na maafisa wao, basi wale wangeuana wao kwa wao.
But kitendo cha Rais na serikali ya Afghanistan kuangushwa kirahisi mapema na wanamgambo wa Taliban ni ushahidi tosha kwamba mbinu za hila ya Marekani zimeshajulikana kote ulimwenguni na zimetibuka na kubuma.
Kule kuwa na chuma begani sio kosasasa huyo jamaa hapo wanamkagua nn? Kama ana siraha nyingine mfukoni ama?



Daah kijana fanya uchunguzi tena wa silaha hatari za kivita kuhusu rpg na AK 47 .hivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Watoto wa miaka ya 2000 hamuwezi kuelewa wataliban tuliosoma shule miaka ya90 miaka ya 94-2001 walipofurumushwa na wamarekani ndo tunajua taliban ni kina nani enzi za akina Mullar Muhamad Omary achana na hao viumbeKuna mwalimu mmoja Songea Boys walikua wanamuita Mtaleban, sahivi ndio naanza kuelewa kwanini.
AK-47 hata aliyeibuni na kuitengeneza anajuta hadi anakufa,this kind of machine is easy to use, easy to repair, and reliablehivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma
Kwamba Return propeller Gun (RPG)Naona unacheza na RPG, Return propeller gun,we ita machuma chuma



wonders shall never cease
Ak47 na SMG ni silaha nyepesihivi kwa nini waarabu silaha zao kuu huwa ni haya ma rpg na ak-47 yaani haya makitu huwezi kuyakosa kwa waarabu wawapo vitani ...huwa najiuliza sn mbn kuna silaha nyingi tu za kisasa zaidi kuliko hayo machuma chuma