wewe wasema, hakuna aliyegawanyika hata aliyevunjika, ccm nambari one
Captain22 uchaguzi wa nini? Afukuze tu hao wezi baasiiii.
Uchaguzi mwingine! hawajipendi?Aitishe uchaguzi mkuu, hilo ndilo shuluhisho. Mbona nchi nyingi duniani mambo yakiwa hovyo serikali huitisha early elections
Bt Mna uhakika gani kua uchaguzi ukiitishwa leo na ccm wakaondoka na chama kingine kikiingia hawatakula na wao? mpaka kuja kutoa rushwa kwenye system yetu ya kiuongozi hapa bongo itachukua kama miaka 10..maana rushwa ipo mpaka kwenye vitongoji so hiyo sio kazi ya siku moja regardless of which party is in power rushwa itaendelea for a few years..i can guarantee u that!!