michael G
Member
- Jul 28, 2018
- 31
- 48
Ni mwezi sasa tangu zoezi la kuhakiki malipo ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es salaam lianze, zoezi lilikua linaenda vizuri na kila mtu aliambiwa tatizo lake na kuweza kulishughulikia kwa wakati.
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliokua na tatizo kwenye suala la malipoo kwani wakati wakulipa nilikosea account namba na kuingiza hela kwenye account nyingine ila Mungu si athuman mana nilifanikiwa kuhamisha hizo hela, cha ajabu nashangaa Jana wanatoa majina mengine namm nipo tena wanasema nadaiwa laki 5 na 21 na ukizingatia ndo nimemaliza uhakiki juzi jumanne.
Juzi gazeti moja liliandika "NDALICHAKO ACHARUKA UPOTEVU WA MABILIONI UDSM" naona utawala unahaha namna ya kurudisha hizo hela mkaona mtutengenezee madeni hayo, Cha ajabu mnasema nadaiwa hiyo laki 5 wakati nalipiwa na bodi ya mikopo, mm ada yangu kwa miaka 3 laki 5 haifiki sijui hyo mmeitoa wapii??
Na mkumbuke mwezi wa saba tulifanya zoezi la kusaini ada zote zilizolipwa na bodi ya mikopo kabla ya kuondoka chuoni.
Tafadhali utawala chuo kikuu cha DSM tuachani tupambane na hali zetu mtaani hayo madeni mnayotengeneza yatawagharimu, na hili lifike kwa waziri wa elimu, tumechoka kwa usumbufu huu usio na tija.
Sent using Jamii Forums mobile app