Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Wewe watishie wasiojua, wanapiga picha ofisi ya Trump na yeye akiwa ndani, wewe vipi? Hiyo ni ofisi ya umma sio serikali. Kwahiyo unazani sifa kuwakalisha watu kwenye mstari siku 10? Eti tutakushtaki kawatishie wanao.Kama unazijua vizuri sheria na sio mbabaishaji ni rahisi kuliona kosa lakini kama ni walewale wasio elewa kitu ila wanajifanya wajuaji kweli huwezi ona kosa lakin tambua hapo ni ndani ya ofisi za serikali na mpigaji picha sidhan kama anakibali maalum cha kufanya hivyo achilia mbali hao walio tokea kwenye picha na kupostiwa bila ridhaa yao ambalo nalo ni kosa lingine.