Utawala bora...

Utawala bora...

  • Thread starter Thread starter GP
  • Start date Start date

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
2,049
Reaction score
162
wakuu,
kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!.
ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora?
na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii tunaziona?
msaada tutani plz.
 
Back
Top Bottom