Gunda66 JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 516 Reaction score 312 Jul 25, 2014 #21 Kifuna said: Ni rahisi tu Acha kula vyakula vya viwandani Punguza Starehe Hakikisha unapata masaa nane ya kupumzika Pia pata masaa nane ya kulala. ninaposema kulala nina maana usingizi sio kuulaza mwili kitandani huko ni kupumzika. Hakikisha unaumwagia mwili maji kila siku saa 12 asubuhi maji baridi sio ya moto. fuata ratiba ya kula na kuiheshimu usibadilishe muda wa kula. hata kama kuna chakula kitamu na kingi wewe tumia kipimo kimoja kila siku. Acha kuropokaropoka bila sababu jizuie kusemasema mambo yasiyo na maana. UKITUMIA NJIA HIZI UTAFIKIA UMRI WA HUYU BI-MKUBWA Click to expand... Hapo kwenye nyekundu,, kwa mishahara hii ya kibongo lazima ufe maskini yaani maaa 16 bila kufanya kitu chochte cha msingi?? Bora nife mapema kwa kuishi maisha ntayoenjoy na sio kuishi miaka mingi ya ufukara!!
Kifuna said: Ni rahisi tu Acha kula vyakula vya viwandani Punguza Starehe Hakikisha unapata masaa nane ya kupumzika Pia pata masaa nane ya kulala. ninaposema kulala nina maana usingizi sio kuulaza mwili kitandani huko ni kupumzika. Hakikisha unaumwagia mwili maji kila siku saa 12 asubuhi maji baridi sio ya moto. fuata ratiba ya kula na kuiheshimu usibadilishe muda wa kula. hata kama kuna chakula kitamu na kingi wewe tumia kipimo kimoja kila siku. Acha kuropokaropoka bila sababu jizuie kusemasema mambo yasiyo na maana. UKITUMIA NJIA HIZI UTAFIKIA UMRI WA HUYU BI-MKUBWA Click to expand... Hapo kwenye nyekundu,, kwa mishahara hii ya kibongo lazima ufe maskini yaani maaa 16 bila kufanya kitu chochte cha msingi?? Bora nife mapema kwa kuishi maisha ntayoenjoy na sio kuishi miaka mingi ya ufukara!!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,120 Jul 27, 2014 #22 Red Scorpion said: Kama msongo wenyewe ni wa mawazo hiyo ondoa kwasababu katika umri huo hana hata aliwazalo huyo! Click to expand... Anahesabu siku zake, wale alowafahamu hawapo tena !!
Red Scorpion said: Kama msongo wenyewe ni wa mawazo hiyo ondoa kwasababu katika umri huo hana hata aliwazalo huyo! Click to expand... Anahesabu siku zake, wale alowafahamu hawapo tena !!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 28, 2014 #23 Zamiluni Zamiluni said: Anahesabu siku zake, wale alowafahamu hawapo tena !! Click to expand... Siku zake zipi bro, sio zimeshakata?
Zamiluni Zamiluni said: Anahesabu siku zake, wale alowafahamu hawapo tena !! Click to expand... Siku zake zipi bro, sio zimeshakata?