Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Jumla ya malalamiko 265 kati ya malalamiko 287 yaliyopokelewa na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA yametatuliwa kwa mwaka 2024/25 (mpaka kufiki mwezi march 2025) ikiwa ni saw ana asilimia 92 ya malalamiko yote.
Kwa mwaka wa 2024/25 ndio umeongoza kwa kutatua malalamiko mengi zaidi kulinganisha na miaka ya nyuma kwani kwa mwaka 2023/24 LATRA ilitatua malalamiko 258 kati ya malalamiko 286 na mwaka 2022/2023 LATRA ilitatua malalamiko yote 234 iliyopokea mwaka huo.
Hayo yanafanyika ndani ya miaka minne yar ais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani.