Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,727
Sio jiji tu mikoani huku watu walijenga sana kipindi cha jk.jk kichwa kileKweli kabisa, hizo barabara zilijengwa na Kikwete. Mzee Kikwete watu wamemu-underate sana. Kafanya mambo makubwa sana yule mzee nadhani ndio kiongozi bora kiutawala baada ya Mwalimu
Tuangalie sekta moja ya afya ambapo Muhimbili ilijengwa na mkoloni almost 50% ya majengo yaliyopo pale. Alikuja Mwalimu akaongeza baadhi machache, Ruksa hakufanya chochote, Mkapa alikarabati miundombinu iliyopo ila akuongeza.
JK alijenga JKCI, New OPD, MOI na Mloganzila
Kwenye barabara za mikoa JK ndiye aliyeunganisha nchi yote kwa barabara. Amejenga airport mpya, mradi wa mwendokasi, mradi wa ubungo flyover (alianza yeye) na mingine mipya. Through JK nchi iliingia uchumi wa kati wa chini
Nitamkumbuka na kumuenzi daima JK na katika utawala wake ndipo hata maeneo mengi ya jiji yaliendelea baada ya watu kuwa njema kiuchumi kama Madale, Malamba Mawili, Goba, Bunju, Kigamboni, Mabwepande, Kongowe ya Dar, Chamanzi n.k