Magufuli alikuwa mbinafsi sana, kila kitu akivutia kwake. waliopo tofauti ni ndogo, na kuzima mwenye chato unaenda kutangazwa rasmi kuwa mkoa.Magufuli alikuwa ana hulka ya kupenda sifa sifa sn mfano mdogo tu AIR PORT Terminal 3 alikuta umesha jengwa kwa asilimia karibu 90% akaleta misifa yake ya kutaka kuonekana ule mradi wote na hela zilizotumika pale ni wizi ulikuwa kwahiyo akaja na DRAMA zake ili aonekane kausimamia na kajenga yeye.
Hivi MIRADI aliyejenga JK yote NCHI nzima unaweza mlinganisha na MAGUFULI kweli kweli WATANZANIA wengi wamerogwa, hivi ule mradi wa UDOM pale kama MAGUFULI ndiye angekuwa amejenga yeye kile CHUO naona wangeshauri kibadilishwa jina na kuitwa MAGUFULI UNIVERSITY sijui inge kuwaje kwa kweli.