Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,128
ha ha ha ndoa za mitala zinakubaliwaWenye zaidi ya mmoja watacomment kweli?
Wapo njiani wanakujaNamsubiri yeyote aliye tayari...kutoka namimi
😂😂😂Mkali wa hizi kaziAtakuwa ananoa jembe sasa hivi kwa mandalizi ya kilimo kinachokuja
Itabidi utupe mrejesho kwa kile kitakachotokea😂😂😂Mkali wa hizi kazi
😀😀😀😀 wapo wanakusikia, anza kufanya mazoeziNitatoka na Mtu atakaye kibali kutoka na mie ila asiwe mchovu
Mbona umeishia kumsifia badala ya kumtaja? Unatoka na nani? Mtaje jina.Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Kufanya nini kuhusu nini tena jamanimzabzab sijui atafanyaje🤔🤔🤔🤔
Eeh mama,Kuna Vita siku ya mtoko?😂Nitatoka na Mtu atakaye kibali kutoka na mie ila asiwe mchovu
Utatoka na Nani Sasa?Ina maana hujamuelewa mleta Uzi?Kufanya nini kuhusu nini tena jamani
Sijaelewa je wewe unatoka nani??Eeh mama,Kuna Vita siku ya mtoko?😂