Kuna jamaa alikuwa na kesi mahakamani,na wakili wake alimshauri kwamba ategemee fine au akishindwa
kulipa atapelekwa jela,na hukumu imebaki siku 2.
Jamaa alikuwa hana hela,akamkopa boss wake na boss akasema hana.
Alipo rudi nyumbani alimweleza mkewe na mkewe akasema atajaribu kutafuta.
Kesho yake mkewe alipata hela na fine ikalipwa.
Usiku wake jamaa hakupata usingizi,akachungulia simu ya mke wake.
Akaona sms inasema,nisipo kusaidia wewe mpenzi nitamsaidia nani?
Namba ni ya boss wake na yeye ni dereva.
Mke wake alikuwa hajui mumewe anamwendesha nani na boss inasemekana hajui kama ni mke wa dereva wake.
Kama wewe je uta muuliza mkewe au boss wako?
Au uta endelea kufanya kazi au utaacha?
Pagumu hapo.
Fine ilishalipwa,hawezi kwenda jela.
Kwa nini, wakati anaibiwa?Kwa hiyo jamaa ale bati kama vile haja ona sms?
Tumesha maliza kujibu mada?Kweli kabisa unaibiwa halafu huchukui hatua yoyote!!!!!!
Haya swali lako hili,Hiyo avatar yako ni picha yako?Sijaona mrembo kama huyo.
Jamaa ana umeme yeye na mke wake.Kwa ufupi mimi ndio huyo boss......................Tu,eanza na Nkeo siku nyingi tu, kuna siku mshahara ulicheLewa nikakata pochi la menu, kuna siku mtoto aliugua nikatoa pesa ya matibabu, kuna siku Nkeo alikuaga anakwenda Moro, Nilikua naye, NA MIMI NDIYE NILIYESUKA ZNEGWE UFUNGWE...ILI NILE KWA KUPONI.........n.k, cha msingi kula BATI kama vipi niachie au kama unayaweza kwa mama watoto wangu, POA,